TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.

Tatizo vijana wengi mnaingia kwenye siasa kwa uoga,watanzania wa sasa wameshaichoka ccm,hata akigombea malaika kwa sasa ccm imeshapitwa na basi lielekealo ikulu,na kwa taarifa yako ccm wamepanga kumpitisha dr shein awe mgombea urais,ndiyo maana Jana Ally karume katangaza kugombea.kama una macho tazama hii movie
 
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.

Watu bana Makongoro ndio naniii ccm mwaka huuu hata wamweke Askofu hawawezi kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Yaani huyu makongoro chapombee aje awe rais sababu ya jina la baba yake ??? Haitakaa itokee. Kwanza ananini acha kuonyesha alichowafanyia watanzania ?? Ubunge wa arusha tu ulimshinda ndio aje kuwa rais ?
 
1.Taja mapungufu ya MAKONGORO na kisha tutajie mgombea chaguo lako tuwalinganishe
2.ufalme kivipi????? kwani anafalmishwa urais wa baba yake?????wamepita marais wangapi tokea baba yake
3.Unapomkataa MAKONGORO toa mmbadala wake/mtaje umdhaniye anafaa (ndani ya CCM)
 
Tatizo la hii nchi ni mfumo mbovu ulioasisiwa na Ccm,kwahiyo ili tuwe salama tunatakiwa tuuangushe chini mbuyu Ccm bila kujari nani amepanda juu ya tawi.Hatutamuonea haya yeyote hata kama ataludi Nyerere mwenyewe kwa sababu tunaamini aliyetufikisha hapa ni Ccm
 
Yaani huyu makongoro chapombee aje awe rais sababu ya jina la baba yake ??? Haitakaa itokee. Kwanza ananini acha kuonyesha alichowafanyia watanzania ?? Ubunge wa arusha tu ulimshinda ndio aje kuwa rais ?
1.UBUNGE ULITENGULIWA na mahakama kwa kosa la kuanza kampeni mapema
2.Cha pombe Mkapa/uhuru kenyatta na bush wamefanya lipi baya kwa nchi zao sababu ya POMBE
3.ameiheshimu sana nchii hii kwa kutokuwa mtoto fisadi.Je makongoro utamfananisha na FRED LOWASSA/RIDHIWAN au HUSSEIN MWINYI?????

taja nani anafaa zaidi ya makongoro ccm???
 
Mazengo pombe sioo Ila ni Mzee wa " mizoga "...hachagui ...Ana date madem wa ajabu ajabu

in real life money talks,na ile sura ya ukakamavu kama yangu,bado anawapanda watoto wazuri,duh,maajabu yao ni nini haswa!
 

Ilikuwa zamani mdau ikikaribia uchaguzi watu tunawekewa picha za idd amin kututisha ili watu waichague ccm yaani mtu mkamtoe hukooo mtaa wa saba aje agomber urais kisa mtoto wa Muasisi watanzania wa miaka hiyoo sio wa leo.
 
Niwaambie kitu .. Sizungumzi kwa unafiki. Nilipomuona Makongoro asubuhi hii kwenye Clouds TV. nimebubujikwa na machozi....nasema kwa dhati.
 
Huyo jamaa hana jipya sana zaidi ya kutojulikana. Ila mimi nadhani watanzania kuna haja ya kufanya maamuzi sahihi. Makongoro aka chapombe hafai kabisa.

Kaaacha kunywa inua mioyo lini? Au kaokoka? Mwaka huu tutashuhudia ya Firaoni.
 
tatizo sio CCM kwa ujumla wake bali ni top uongozi
huko china chama kimoja kimetawala miaka kibao na kikawa kila RUSHWA NA UFISADI ILE MBAYA-rais mpya wa china JIN ameamua kupamba na RUSHWA na sasa watawala na maofisa wa Zamani wako magerezani na wengine wamenyongwa

HATA kama CDM/CUF wataingia madarakani ila KIONGOZI mkuu au rais ndiye dira na sio CHAMA KWA UJUMLA WAKE
africa kama china hatuna taasisi imara kwa hiyo tunaitaji viongozi imara.MAREKANI NA ULAYA WANA TAASISI IMARA kwa hiyo hata fisadi akiwa rais bado atakuwa na wakati mgumu wa kufisadi
 
Tembea mkuu uwajue vizuri watanzania wa vijijini.

Unachoongea ni kweli asiyekuelewa ni chizi vile vile ukumbuke jamaa hajawahi kuwa na kashfa yeyote maana hajawahi kuwa serikali na marais wote wanamuunga mkono yeye.
 
serikali ndiyo inayotakiwa kuwa active muda wote,upinzani wanafanya kazi kwa matukio!!hiyo ndiyo kazi yao!ukikosea mpinzani anakukumbusha kuwa hapo umekosea,ukienda sawia anakaa kimya,au wewe ulitaka upinzani ufanye kazi za serikali?juzi tu hapa upinzani ulifanya kazi ya kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura Nec na ccm ikawajia juu kuwa eti siyo kazi yao,wakienda kukagua maendeleo majimboni mnasema wanatafuta sifa!wakiandamana kupinga uovu munasema wanaleta vurugu,wakifanya mikutano munaizuwia na kudai wanahamasisha fujo,wakitulia unamwaga povu!!! Kha nchi ngumu hii.
 

Nasema ni Ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…