Team daimond wakiongozwa na hance mtanashati

Unaongelea vitu vilivyo irrelevant kabisa.

Na hakuna nilichoshindwa kuelezea bali kilichopo ni ulichoshindwa kukielewa wewe na matokeo umeanza kuzungumzia mambo yasiyo kabisa.

Oh well...

Naomba tuhitimishe sijaelewa mkuu. Tuwaachie wenye team zao wajivinjari kwenye hii tasnia.
 
Nauelewa ushabiki wa muziki.

Lakini huu wa Diamond sijui kutoka na msichana huyu au yule na kuumizwa na Diamond kumcheat huyu na yule....dah!

Haiingii akilini kabisa.

Huu sio ushabiki aiseeee hasa kwa wanaume maana kwa KE sio kesi ndio mambo yao haya ila dume zima amevurugika anatukana hadi watu kwenye mitandao kisa yeye ni shabiki wa Diamond alieegemea upande mmoja wa mzazi mwenza wa Diamond hizo ni tabia za kike kwa 100%
 
I don't really support this....halafu sijui kwann was ngine wanafurahia? Utadhani wao ndio waligegedwa.....sheet
 
We unafaidika nini kumsema hovyo jpm. Kila siku unabwatuka magu hivi magu vile

Mtu hata hakujui ila una bwabwaja.

Kwahyo ulitaka hapa tuongee Mambo ya kubeba boksi tu.

*pambana na hali yako
mwanipa raha jomoniii
 
Kuna mchambuzi wa soka aliwahi kutoa mtazamo wake juu ya sisi vijana wa Tz na inshu za Kiba na Mondi nazani wengi hawakumuelewa lkn kwa attention ya leo nafikiri tumemwelewa
 
Hua najiuliza sana haya maswali sijui faida gani wanaipata ukizingati hawaingizi hata sumni kwa upuuzi wao mbaya zaidi wapo wanaume kabisa wameumia eti Diamond kazaa na uyo mdada na wapo vidume wanapiga shangwe yule mama watoto wake wa Uganda eti kakomeshwa duh kuna tatizo sehemu na hizi timu zao.
We jf inakuingizia nini?kwani usikae kimya huko kwako
 
Nauelewa ushabiki wa muziki.

Lakini huu wa Diamond sijui kutoka na msichana huyu au yule na kuumizwa na Diamond kumcheat huyu na yule....dah!

Haiingii akilini kabisa.
Huelewi hata maana ya "ushabiki" bila shaka. Nimeamini majina huwa yanaakisi and phenotype na mtazamo wa mtu. Eti mtu anajiita/ameitwa nyani. Nyani's reasoning power.. Nyani's alfa... Omega
 
Kukariri kubaya!

Na ukiwa huna vocabulary ya kutosha kuweza kujieleza vizuri matokeo yake ndo haya sasa....kila kitu...'umepanic'.

Hivi wewe unajua maana ya neno 'panic' kweli?

ujumbe ushakufikia hata ukijikosha ,sio kila kitu unajua wewe au wewe ndiye unauwezo mkubwa wakufikiri kushinda wengine
 
Back
Top Bottom