Team daimond wakiongozwa na hance mtanashati

Ambacho sijaelewa ni kitu gani hapo?
Kwamba ushabiki wa mpira ni tofauti na huu wa mambo ya team kufikia kufuatilia maisha binafsi ya watu?

Ilimradi wote wanafanya ushabiki, wote walewale tu tofauti yao ni namna na kiwango cha ushabiki wao.

Hahaaa unaona sasa!

Uthibitisho zaidi kuwa hujaelewa!
 
Hahaaa unaona sasa!

Uthibitisho zaidi kuwa hujaelewa!

Unachokisema kingebaki kuwa kweli endapo huo msemo ungekua na maana moja, kwa kuwa unaweza kutumika kutokana na mazingira tofauti, turahisishe kama unayodai sijaelewa.

Mwisho wa yote inapomuja ushabiki, umeshindwa kueleza unachofaidi ukishabikia team ya mpira. Kwenye maisha kuna watu wa kila aina hauwezi kulazimisha wote wakafanana mitazamo au wanachokipenda. Kuweza kuchukuliana na watu wa kafa zote nako ni ukomavu.

Usibeze kwakuwa wewe unaona haina maana. Kuna wengine watakushangaa ukiwaletea habari za mpira au riadha...udaku ndio kila kitu kwao. Alimradi haikuathiri kwa namna moja ama nyingine unaacha waendelee na wanachokipenda.
 
Diamond kumtandika mimba ex-GF wake imekuwa gumzo na wengine kufikia hatua ya kusema eti wanajitoa kuwa fans wa Diamond au wanatamani wangekuwa wao ndio Zari ili warevenge au wafanye chochote. Really? Alichofanya sio kituko kwenye dunia hii and people should let him live the way he wants.
Na wanatamanii
 
Unachokisema kingebaki kuwa kweli endapo huo msemo ungekua na maana moja, kwa kuwa unaweza kutumika kutokana na mazingira tofauti, turahisishe kama unayodai sijaelewa.

Mwisho wa yote inapomuja ushabiki, umeshindwa kueleza unachofaidi ukishabikia team ya mpira. Kwenye maisha kuna watu wa kila aina hauwezi kulazimisha wote wakafanana mitazamo au wanachokipenda. Kuweza kuchukuliana na watu wa kafa zote nako ni ukomavu.

Usibeze kwakuwa wewe unaona haina maana. Kuna wengine watakushangaa ukiwaletea habari za mpira au riadha...udaku ndio kila kitu kwao. Alimradi haikuathiri kwa namna moja ama nyingine unaacha waendelee na wanachokipenda.

Unaongelea vitu vilivyo irrelevant kabisa.

Na hakuna nilichoshindwa kuelezea bali kilichopo ni ulichoshindwa kukielewa wewe na matokeo umeanza kuzungumzia mambo yasiyo kabisa.

Oh well...
 
Hivi watu mnafaidi nini Diamond kuzaa na huyo Hamisa?

Au mtafaidi nini kwa mfano Diamond akiachana na Zari?

Au mnafaidi nini Diamond akiwa anatoka na msichana wa Kitanzania au mnakosa nini Diamond akitoka na msichana asiye Mtanzania?

Mtu ukute huyo Diamond hata hakujui lakini unakosa usingizi kisa anatoka na mdada kutoka Uganda!

Ushabiki wa kipumbavu sijapata kuona.

Hua najiuliza sana haya maswali sijui faida gani wanaipata ukizingati hawaingizi hata sumni kwa upuuzi wao mbaya zaidi wapo wanaume kabisa wameumia eti Diamond kazaa na uyo mdada na wapo vidume wanapiga shangwe yule mama watoto wake wa Uganda eti kakomeshwa duh kuna tatizo sehemu na hizi timu zao.
 
Aaah wapi ,tena leo tumepata ushindi wa asubuhi asubuhi

Huyo Hamisi Mobeto ameonekana wa ajabu sana na pia wapambe wake waliokuwa wanamjaza ujinga wanamcheka chinichini kwa sasa.

Kishamuandalia mwanae Urithi wa uhakika Nyie endeleeni kujifariji
 
Hua najiuliza sana haya maswali sijui faida gani wanaipata ukizingati hawaingizi hata sumni kwa upuuzi wao mbaya zaidi wapo wanaume kabisa wameumia eti Diamond kazaa na uyo mdada na wapo vidume wanapiga shangwe yule mama watoto wake wa Uganda eti kakomeshwa duh kuna tatizo sehemu na hizi timu zao.
Nauelewa ushabiki wa muziki.

Lakini huu wa Diamond sijui kutoka na msichana huyu au yule na kuumizwa na Diamond kumcheat huyu na yule....dah!

Haiingii akilini kabisa.
 
Back
Top Bottom