The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,106
- 48,730
Kuzaa kwao kunakuhusu?
Kwani mkuu unaposhabikia team ya mpira au mchezo wowote inakufaidia kitu gani?
Kuzaa kwao kunakuhusu?
Hainihusu hata kidogo.Nawe je inakuhusu?maana umeikomalia
vitu vingine mzee ukiona sio size yako au vyakipuuzi unapita kimya tu we mwenyewe unaonekana waajabu sasaHabari inakuhusuje wewe?
We mbona hujapita kimya? Umewashwa?vitu vingine mzee ukiona sio size yako au vyakipuuzi unapita kimya tu we mwenyewe unaonekana waajabu sasa
Ndio hivyo halaf abdul tz kafanana na baba yake kuliko wale kina Tiffa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hainihusu hata kidogo.
Sijali Diamond analala na nani au anazaa na nani.
Na wala sijaikomalia. Nimekomalia wanaoikomalia utadhani hayo mambo yanawahusu.
Umeelewa?
Abdul ndo nani?Ndio hivyo halaf abdul tz kafanana na baba yake kuliko wale kina Tiffa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa kikubwa ni upiUshabiki wa kitoto sana huu!!
Huu hapa.Wa kikubwa ni upi
Abdul ndo nani?
AigoooooPESA TASLIM SHILINGI MILIONI TANO ZA KITANZANIA....KWA KILA MWEZI.
We mbona hujapita kimya? Umewashwa?
umepanic mzee mzimaHuu hapa.
We unafaidika nini kumsema hovyo jpm. Kila siku unabwatuka magu hivi magu vileHivi watu mnafaidi nini Diamond kuzaa na huyo Hamisa?
Au mtafaidi nini kwa mfano Diamond akiachana na Zari?
Au mnafaidi nini Diamond akiwa anatoka na msichana wa Kitanzania au mnakosa nini Diamond akitoka na msichana asiye Mtanzania?
Mtu ukute huyo Diamond hata hakujui lakini unakosa usingizi kisa anatoka na mdada kutoka Uganda!
Ushabiki wa kipumbavu sijapata kuona.
Mfano we ungekuwa umezalishwa na simba chibu dangote ungeuchuna tu kisa unapewa hela. We mwanamke una wivu sana. Unamchukia mwanamke mwenzio kiasi hicho dada.Hainihusu hata kidogo.
Sijali Diamond analala na nani au anazaa na nani.
Na wala sijaikomalia. Nimekomalia wanaoikomalia utadhani hayo mambo yanawahusu.
Umeelewa?
Wanawake inatakiwe muwe wamoja jamani.Huu hapa.
Kukariri kubaya!umepanic mzee mzima
Kwani mkuu unaposhabikia team ya mpira au mchezo wowote inakufaidia kitu gani?
Apples and oranges.
They are both fruits but not the same.