Team daimond wakiongozwa na hance mtanashati

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,618
Reaction score
27,599
Screenshot_2017-09-19-16-45-01-1.png
Screenshot_2017-09-19-15-05-51-1.png
 
Aaah wapi ,tena leo tumepata ushindi wa asubuhi asubuhi[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Huyo Hamisi Mobeto ameonekana wa ajabu sana na pia wapambe wake waliokuwa wanamjaza ujinga wanamcheka chinichini kwa sasa.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hamissa kafanya vizuri sana ,,,subirini mtoto wa pilii
 
Mambo ya uteam hayoo,,team hamisa ndio wanawatania team zari maana walikua wakimchamba hamissa kua mtoto sio wa dai

Hivi watu mnafaidi nini Diamond kuzaa na huyo Hamisa?

Au mtafaidi nini kwa mfano Diamond akiachana na Zari?

Au mnafaidi nini Diamond akiwa anatoka na msichana wa Kitanzania au mnakosa nini Diamond akitoka na msichana asiye Mtanzania?

Mtu ukute huyo Diamond hata hakujui lakini unakosa usingizi kisa anatoka na mdada kutoka Uganda!

Ushabiki wa kipumbavu sijapata kuona.
 
Ndio utuwache sasa,,,tumefurahi akizaa na hamissa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamissa kafanya vizuri sana ,,,subirini mtoto wa pilii
Hata kwa ndumba haiwezekani ,atatuharibia huyu.[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Kama huyu mtoto wa kwanza tu hivi ,je akipata wa pili si atataka kila show atakayofanya Diamond nusu ya pesa apewe yeye.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Alisema kwani awe anapewa sh.ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom