Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,591
nadhani kwa kiwango kidogo sio kikubwa kwa chakwako
Umepanic wewe
nadhani kwa kiwango kidogo sio kikubwa kwa chakwako
haya mzee mwenzangu nimekusomaUmepanic wewe
Inamsaidia Ku BETKwani mkuu unaposhabikia team ya mpira au mchezo wowote inakufaidia kitu gani?
mapachaaaa tenaHamissa kafanya vizuri sana ,,,subirini mtoto wa pilii
Matron am missing you!mapachaaaa tena
mmh natamani nikuchime nikujue ila basi tuuMatron am missing you!
Ngoja nifanye juu chini hadi unijue huenda huu upweke unaoniua ukaishia mbali!!mmh natamani nikuchime nikujue ila basi tuu
Na ww nenda kamzalie Diamond basHamissa kafanya vizuri sana ,,,subirini mtoto wa pilii
Well said... Sio kwa mipovu hii ya mtu mzima!!....umepanic mzee mzima