TCU vipi Diploma Guidebook?

Naona tcu inafunguka sema ndo hivyo nipo navuka mpaka Tarakea huku.

Cas bado patupu kwa wenye diploma sa sijui mda wote walikuwa wanafanyaje.
 
Mkuu asante kwa kuwa macho vema ni saa 0318 lakini bado mambo ni yale yale ya 31/7. Hewa
Ha ha ha ha! Mkuu na mimi nilijiandaa Kimya kimya niingoje hiyo 00:00.
Mimi naamini Wakati Kwenye Kudahili ni Mizinguo Kam hivi, basi na kwenye kutufanyia Selection watatufanyia Mizinguo kama haya
 
Back
Top Bottom