sawa ila nacte awawezi huska na selection moja kwa moja wanachofanya ni kusubmit matokeo ya walio apply before tcu na watachanganua waliokizi vigezo vilivyowekwa na tcu then tcu kuchukua hao na kuwafanyia selection kupitia cas nacte awausiki tena hapo ndio maana ulisikia nacte wakisema wanafanya mchakato wa kuchambua wenye sifa ila sio kuwachagua chuoNi kweli mkuu selection zinafanyika TCU peke yake ila kwa kuwa tuliomba kupitia nacte basi lazima nao (nacte) wahusike kwa njia moja au nyingine katika kufanya hizo selection ndiyo maana katika matangaxo yao wanasema majadiliano yanaendelea hiyo inamaanisha kuwa nao wanahusika mkuu. Ni mtazamo wangu tu...