TCU vipi Diploma Guidebook?

TCU vipi Diploma Guidebook?

Tunaelekea Tarehe Kumi. Namba zao hazipatikani na wala hamna Tamko lolote. Nji hii
 
Wakuu mimi nafikiri tuendelee tu kuwa wavumilivu naiman huu ucheleweshwaji wa guide book utakuwa unaendana na neema(selection) kwa wale tulioomba mapema kupitia Nacte. Mfano takriban wiki na zaid sasa kwenye profile yangu nikijaribu kulogin nakutana na ujumbe 'system is current running for selection' hivyo naiman guide book itakuja pamoja na selection zetu. Tuendeleeni tu kuwasubiria naiman wiki hii lazima kitaeleweka.
 
selection inafanyika tcu peke yake upande wa degree kwa kilichopo sasa ni diploma kutoona guide book ni ngumu kweli kuchagua bila kujua vigezo huska kozi huska na chuo huska
 
Ni kweli mkuu selection zinafanyika TCU peke yake ila kwa kuwa tuliomba kupitia nacte basi lazima nao (nacte) wahusike kwa njia moja au nyingine katika kufanya hizo selection ndiyo maana katika matangaxo yao wanasema majadiliano yanaendelea hiyo inamaanisha kuwa nao wanahusika mkuu. Ni mtazamo wangu tu...
 
Mambo mazuri hayataki haraka wapendwa guidbook kwa diploma itatoka zen tutafanya application
 
Ukutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
CHA MUHIMU NDUGU ZANGU NI KUANDAA HIZO FEDHA.
INAONESHA KUNA MAMBO HAYAJAKAA SAWA,SERIKALI SIO WENDAWAZIMU KIHIVYO,
INAWEZA SYSTEM IKAFUNGULIWA THEN IKAZINGUA,SO TULIE TU,MAMBO YATAKUA MAZURI.
JAPOKUA INAKATISHA TAMAA BUT CHA MUHIMU NI KUANDAA HYO 50 ILI IKIFUNGULIWA TU UNAFANYA YAKO
 
CHA MUHIMU NDUGU ZANGU NI KUANDAA HIZO FEDHA.
INAONESHA KUNA MAMBO HAYAJAKAA SAWA,SERIKALI SIO WENDAWAZIMU KIHIVYO,
INAWEZA SYSTEM IKAFUNGULIWA THEN IKAZINGUA,SO TULIE TU,MAMBO YATAKUA MAZURI.
JAPOKUA INAKATISHA TAMAA BUT CHA MUHIMU NI KUANDAA HYO 50 ILI IKIFUNGULIWA TU UNAFANYA YAKO
50 ipi mkuu umesahau ile 50 ya kabla June 3? Hukulipa ile?
 
mjibu vizur banaaa,hyo pesa ukiidai ukiwa serious unalipwa vizuri mnoo
 
Back
Top Bottom