TCU vipi Diploma Guidebook?

TCU vipi Diploma Guidebook?

Naona tcu inafunguka sema ndo hivyo nipo navuka mpaka Tarakea huku.

Cas bado patupu kwa wenye diploma sa sijui mda wote walikuwa wanafanyaje.
 
Mkuu asante kwa kuwa macho vema ni saa 0318 lakini bado mambo ni yale yale ya 31/7. Hewa
Ha ha ha ha! Mkuu na mimi nilijiandaa Kimya kimya niingoje hiyo 00:00.
Mimi naamini Wakati Kwenye Kudahili ni Mizinguo Kam hivi, basi na kwenye kutufanyia Selection watatufanyia Mizinguo kama haya
 
hahaaaaaaa, profession wa IT kutoka Rwanda inabidi waje waisaidie TCU ku operate system ya CAS
 
vuteni subira,kusudi wameandika kwenye page yao tarehe 8 basi muda wowote nazani watafungua
 
Sijui una maana gani hapo kwenye TAREHE MBILI
Sijui ni kuchanganyikiwaaa. Maana leo nimefungwa Super kwenye Draft na ukizingatia hawa wanatuchelewesha nilitaka kuandika tunaelekea saa mbili
 
Back
Top Bottom