Mvute subira TCU wanasubiri matokeo ya RPL ili na wao wa applay kwa pamoja na nyie wa diploma. ndo wamepiga tu pepa juzi ijumaaAisee yani unaweza kulia,LAKINI JAMANI IWE FUNZO KWETU SABABU KESHO TUKIPATA NAFASI ZA UONGOZI TUSIFANYE HIVI MAANA HUU NI UZEMBE TOTALLY
Mvute subira TCU wanasubiri matokeo ya RPL ili na wao wa applay kwa pamoja na nyie wa diploma. ndo wamepiga tu pepa juzi ijumaa
Nane kasoro....




Ni sawa usemavyo ila kama unafuatilia mambo hata ratiba yenyewe ya RPL walibadilisha sivyo walivyotangaza awali.serikali ya matamko mkuu siunajua tena wenyewe mpaka wafanye jambo ni hadi mkuu wa kaya aoteshwe la kuwaambiaFrom Tarehe 31 July, to tarehe 8 August then Tarehe 15 August unakusudia Kutwambia TCU hawajui Wanachokifanya au??
Kwasababu Ratiba ya Mtihani Wa RPL wanapanga Wao TCU, na Hizo Tarehe Za Application Wanapanga Wao TCU, sasa unataka Kutwambia walipo Panga hile Tarehe 31 walisahau Kuwa Kuna Mtihani Wa RPL?? 8 je? na 15 je? Mbona Haiingii Akilini..!!!
Ni sawa usemavyo ila kama unafuatilia mambo hata ratiba yenyewe ya RPL walibadilisha sivyo walivyotangaza awali.
Mkuu unajua namna ya kucalculate hizo GPA ili ujue kama umefika 3.5 au lah?Mpaka next week, 3.5 ni kizungumkuti
Vipi kuhusu GPA mkuu?Mkuu nashukuru kwa kufuatilia pamoja nami. Ni Kweli na inabidi tuchangamkie fursa.