TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

Yeye alipie kwanza upya tcu, ndo aendelee kufatilia hiyo ya nacte irudi vip kwake, but kuna neno linaitwa NON REFUNDABLE alizingatie sana.
 
Yeye alipie kwanza upya tcu, ndo aendelee kufatilia hiyo ya nacte irudi vip kwake, but kuna neno linaitwa NON REFUNDABLE alizingatie sana.

Nakubaliana na wewe kwamba jambo la kwanza kabisa na la haraka winlicious analotakiwa kulifanya kwa sasa nikufanya malipo na taratibu zote za kuomba TCU. Hilo la non refundable linategemea kama mchakato wa NACTE ulienda vizuri inamaana hakuna makosa kwa upande wao ila kama kuna hitilaf au matatizo ya kiufundi yalijitokeza hapo anaweza kuanza kuhangaika na watu wa mtandao baada ya kua ameshahakikisha amemaliza kuomba TCU!
 
Last edited by a moderator:

Hiyo asamehe tu maana walishasema n non refundable
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza,,je ukishamaliza kufeed data zote...Inamaana wadau watasubir admission zao kutoka?..na kale ka utaratibu kazamani kutuma kupitia posta huku akapo?kama ile ya Heslb ukimaliza kujaza una print na kutuma,,,nataka kujuzwa maana nimemjazia dogo
 
Jamani mambo iko hivi,

Kuna ndugu yangu alinipigia kuwa mwanae yuko JKT ila matokeo yake ni mazuri. Akaniambia huyo mtoto wake amemwambia mtandao unasumbua kule Tabora, kwa hiyo akaniomba nimsaidie kumjazia maana nina access na internet na nina muda wa kutosha.

Sasa akanitumia hela 50,000 na mimi nikaituma tcu kwa kutumia tigo pesa. TCU wakanitumia voucher number.
Jamaa akanitumia index namba ya mwanafunzi ila akakosea tarakimu moja, badala ya 48 akanitumia 47. Kuingia kwenye registration ikaja jina lingine. Nikampigia jamaa, akasema subiri kidogo, baadaye akaniambia niweke 48. Jina likakubali.

Sasa kasheshe ni kuwa inaniletea ujumbe huu hapa chini

"Sorry, either your payment transaction id is not valid or there was a delay in receiving your payment details into our system. Make sure you are not typing letter 'O' in place of number Zero, 1 instead of I or L. If you are sure the transaction id is correct kindly wait for about an hour before trying again"

Sasa hofu yangu ni kuwa ile voucher itakuwa imeenda kwa ile namba ya awali niliyokosea au tatizo ni nini? Je nimeliwa hapa? Nifanyeje? Nimepiga namba za TCU help desk zote hazipatikani. Nishaurini wadau
 
haujaliwa.. km ulisha submit details zake na ile hakikisho ikaja utakuwa tayari umesajili na iyo transactions id. so hapo hutakiwi kuitumia upya, cha kufanya log out then log in utaendelea na mambo yako km ila km hakikisho halikufanyika basi itabidi usubiri kwa mda alaf ujaribu tena... netwerk yasumbua tangu jana. km itakua nimecoment vibaya basi itakuwa sijaelewa tatzo lako .. SAMAHANI , nawasilisha
 
mimi nimemaliza kujaza program zote tano lakini sioni sehemu ya kuclick ili kusubmit au ndo tayari selection imeisha baada ya kujaza program tu hakuna hatua nyingine tofauti na kuprint? naombeni msaada wadau
 
mkuu Joline naomba msaada, ukishamaliza program selection kuna kitufe cha confirmation au inakuwaje
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yamekukuta kama mimi PROSCUTOR HUBU, vipi ulifanikiwa kupata majibu
 
Last edited by a moderator:
mkuu Lisandime, saidia haya maneno nimecopy kwa mkuu hapo huu coz na mimi nina tatizo kama hilo
(mimi nimemaliza kujaza program zote tano lakini sioni sehemu ya kuclick ili kusubmit au ndo tayari selection imeisha baada ya kujaza program tu hakuna hatua nyingine tofauti na kuprint? naombeni msaada wadau)
 
Back
Top Bottom