TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

N

isaidie kwa hili bwana: Kijana wangu amepata physics B, chemistry B+ biology B+. akijaza UDM medicine inakataa kuwa point ni 5 zinazohitajika (system inasema yeye ana 4 wakati sio kweli). Vyuo vyote vingine vimekubali. anataka kujaza Muhimbili, CUHAS na Udom. Please help

Hayo matatizo yapo tangu 2012 nimeanza kuyaona. Japokuwa huwa kunakuwa na mistake kwenye website ya TCU-CAS ila ukiona vingne vinakubali na kimoja kinagoma usiendelee kubishana nao sana, tafta kingne. Lakin pia kuna wakati ambapo unakuta walioomba kile chuo wapo wengi sana na washajaa, ile setting system ikawa haikuwekwa kwaajili ya kuchange status kwahyo ikaleta status nyingine.
 
Asante sana. Anataka ajaze Muhimbili, CUHAS na UDM medicine. UDOM inakataa wakati point anazo za kutosha. Umenishauri kujaza kingine, si unajua choice preference!
 
Jamani, naomba nikiri tuu, haya mambo ya TCU huwa nasikiaga tuu, ila leo napata joto ya jiwe.

Nilituma hela jana wakanitumia voucher, nikaanza mchakato umegoma.

Leo asubuhi nimedamkia alfajiri. Nimeishia kujaza O level sitting na particulars kama postal address, date of birth etc.

Nimeenda hatua ya kuingiza second O level sitting kwa maana kuwa nilireseat O level, ndo nikaja Advance, sasa mtandao umegoma. Je, nifanyeje?

Nimeona kuna option ya kulog out, na je nikilogg out nikaja baadaye naanzia wapi? Au ndo naanza upya.
 
sasa kama mtandao umegoma si uusubiri ukae vizuri au toka huko magwepande njoo citycentre hku tukufanyie hzo kazi za single click
 
TCU na NACTE ni vyombo vinavyoenda sawa.

Sasa nilisoma kwenye TCU GUIDEBOOK 2015/2016 ikisema kuwa deadline ni 31/08/2015 kwa all applicants. Sasa nimeingia CAS kwa waliotokea diploma nakuta NACTE wao wanasema deadline ni 02/08/2015. Hapa tayari kuna watu tumeshaachwa kwenye mataa ukizingatia hivi vitu ni nyeti sana (Maisha ya watu).

TCU na NACTE jaribuni kurekebisha hii mtawafanya watu wengine washindwe kusoma mpaka mwakani!

Nawasilisha
 
hizo deadlines ndivyo zilivyo,ila kwa ushauri ni kwamba hata hao wanaoapply kupitia TCU walitakiwa kuwa wamemaliza mambo yao tar 2/8 zaidi ya hapo unajiweka katika wakati mgumu. wabongo wengi husubiri mpaka siku ziishe ndio waanze kuapply sasa wameambiwa wamepele fomu ofisi za tcu wenyewe lakini ukweli ni kwamba kupeleka fomu mwenyewe ni kujikosesha nafasi mwenyewe, siku hizi mambo ni kwenye computer hakuna mtu huko wa kudeal na hardcopies
 
Nacte na TCU ni taasisi mbili tofauti zilizo na mamlaka ya kudahili wanafunzi independently, Nacte inajihusisha na equivalent na TCU ni direct, mbona hukuuliza kwanini Nacte walianza kupokea maombi kabla ya TCU kuanza?
 
hizo deadlines ndivyo zilivyo,ila kwa ushauri ni kwamba hata hao wanaoapply kupitia TCU walitakiwa kuwa wamemaliza mambo yao tar 2/8 zaidi ya hapo unajiweka katika wakati mgumu. wabongo wengi husubiri mpaka siku ziishe ndio waanze kuapply sasa wameambiwa wamepele fomu ofisi za tcu wenyewe lakini ukweli ni kwamba kupeleka fomu mwenyewe ni kujikosesha nafasi mwenyewe, siku hizi mambo ni kwenye computer hakuna mtu huko wa kudeal na hardcopies

TCU mwisho haikuwa tar 2 ilikuwa ni tar 15/08/2015
 
TCU mwisho haikuwa tar 2 ilikuwa ni tar 15/08/2015

kuna kipindi nilikuwa nataka kumfanyia application anko wangu ndio niliona wameandika tar 31/8.....sijui kama wameishabadilisha saiz
 
Nacte na TCU ni taasisi mbili tofauti zilizo na mamlaka ya kudahili wanafunzi independently,Nacte inajihusisha na equivalent na TCU ni direct ,mbona hukuuliza kwanini Nacte walianza kupokea maombi kabla ya TCU kuanza?

Ni taasisi mbili tofauti lakini zinahusika na elimu ya juu. Nasema hivi kwa kuwa nimemaliza diploma mwaka huu na matokeo ndio yametoka. Kwa maana nyingine nimechelewa. Inabidi sasa kila taasisi iwe na guidebook yake
 
Nacte wanayo guide book yao,tafuta utaipata
 
Mie nilijaribu kupiga simu zao hazipatikani. System ipo chini sana. Bora tutumie ile ya zamani.
 
Mm Mr Joseph wa arusha nilikuwa nafanya malipo tcu kwa bahati mbaya nikawa nimekosea nakutuma nacte CAS nifanyeje ili hela yangu ni rudishiwe Kwan napiga cm haopokelewi!
 
Habari wakuu, naomba mnisaidie tatizo langu kwa wenye kujua.
Nina mdogo wangu amekosea kutuma pesa ya maombi ya chuo, badala ya kutuma TCU yeye ametuma NACTE na ameshtuka wakati tayari ameshalipa.
Je afanye nini kurudishiwa hiyo pesa au ndio bye bye ajipange kulipa tena hela nyingine?
Nitashukuru kwa msaada wenu
 
Nadhani njia rahisi ni kuwasiliana na huduma kwa wateja wa mtandao husika..Labda wanaweza kusaidia
 
Back
Top Bottom