Nashukuru kwa ushauli wako.
Jaribu kuandika upya inawezekana umekosea kujaza
Nashukuru kwa ushauli wako.
mkuu vipi una info tarehe gani selection za TCU zinatoka?
mkuu una info ya tarehe ya selection za T.C.UUnaweza kupakua Kitabu cha Mwongozo moja kwa moja kutoka Website ya TCU.
Faili la PDF: View attachment 252239
Hi mwana JF
Nilichagua programs tano na baadaye nikabadiri priority. Kila niki-login sikuti hayo marekebisho. Nilijaribu kufuta programs zote na kuanza upya, sasa cha ajabu priority nilizochagua zinaanzia namba 2 mpaka 5, priority 1 haionekani, ingawa nikiomba ku-add program naambiwa nimeshachagua program zote 5. Naomba msaada.
Unaweza kupakua Kitabu cha Mwongozo moja kwa moja kutoka Website ya TCU.
Faili la PDF: View attachment 252239
jaman mwisho wa kutuma maombi tcu lini?
Maombi ya kazi au ya kujiunga na ccm???
15th agost (nacte) 31st augost (FOrm 6)
Salaam wanajf;
Leo nilitaka kununua voucher ya TCU kwa bahati mbaya nikakosea nikanunua ya NACTE..please mwenye kuhitaji voucher hii hata kwa Elfu 40 au tubadilishane anipigie..
Namba ni 0673 354881
Nawasilisha
Ndg yangu pole. Me muhanga mwenzio. Plz ukifanikiwa tusaidiane plz. Email; bmcoletha@gmail.com.com
Naona imenigomea kulogin
jaman mwisho wa kutuma maombi tcu lini?
Tumia tu transcript uliyonayo sasa...ndugu yangu alifanya hvyo mwaka jana akapata chuo kama wengine. We upload tu hyo transcript sehemu zote mbili(wanapotaka cheti na transcript)Nimeanza kufanya application kupitia NACTE. Kwenye kuongeza NTA level 6 qualification sijakiona Chuo changu. ILA bahati nzuri wametoa option lakini wanahitaji uscan cheti. Mimi nimemaliza mwaka huu diploma ya kilimo, hivyo Nina transcript kwa sasa. Je naweza kuiscan hiyo Na kufanya application? Au nisubiri mwakani?.... Naombeni msaada Kama Kuna kwenye ufahamu Na hili.
Nawasilisha
Tumia tu transcript uliyonayo sasa...ndugu yangu alifanya hvyo mwaka jana akapata chuo kama wengine. We upload tu hyo transcript sehemu zote mbili(wanapotaka cheti na transcript)