TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

wakuu nimeapply kupitia NOAS nimemalza form 6 mwaka huu.
je kuna tatizo kuhusu hilo?
 
wakuu nimeapply kupitia NOAS nimemalza form 6 mwaka huu.
je kuna tatizo kuhusu hilo?

ninavyojua mimi NOAS wanaaply waliosoma diploma na vyuo vilivyo chini ya nacte lakini wewe direct form 6 unatakiwa uapply kwenye CAS
 
wakuu ukitaka kusoma degree baada ya kupata direct diploma kutokea O-level unaweza kupata mkopo toka serikalini ama inakuwaje hapo
 
Jamani naombeni msaada jinsi ya add program maanake kila nikisachi naambiwa"match not found nfano najaza
MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO nikisearch naambiwa match not found pia nikitafuta course za nje ya nchi naambiwa the same thing mfano MZQ11 naambiwa not found sasa naombeni msaada kwa anaejua
 
Kwa ulivyoandika sishangai kua umekwama! Unauliza utafikiri wote tuko chumba kimoja
 
Jamani naomba kama tcu na loan board watatoa majibu kwa walioomba bas mtujuze ili tuwachekie madogo ambao wapo jeshin
 
Andika kozi na cio nmba ta kozi mfano kama unatafuta kozi za elimu andika education zitakuja zote
 
nimelipia voucher ya kuapply chuo nimejaza page ya kwanza na nikathibtisha majina yangu na namba yangu ya mtihan wa kidato cha nne,nlvyo thibitsha ukaja ujumbe unaosema " sorry either your payment translation isnot valid or there was a delay in receiving your payment details into our system, make sure you are not typing letter o instead of number zero, 1 instead of l or L, if you are sure the translation is correct kindly wait for an hour before typing again" nimesubil naona bado tuu msaada wakuu.
 
Ni tatizo la mtandao,ikiendelea tena kwa muda jaribu kuwapgia huo mtandao uliotumia kununua iyo voucher.

Usifute ile sms ya transaction.
 
subiri hata 24hrs itakuwa tayari. mm mwenyewe ilinitokea hivyo, but baada ya masaaa kadhaa ilikubali
 
Hi mwana JF
Nilichagua programs tano na baadaye nikabadiri priority. Kila niki-login sikuti hayo marekebisho. Nilijaribu kufuta programs zote na kuanza upya, sasa cha ajabu priority nilizochagua zinaanzia namba 2 mpaka 5, priority 1 haionekani, ingawa nikiomba ku-add program naambiwa nimeshachagua program zote 5. Naomba msaada.
 
jamani naomba kuuliza jinc gani ninaweza kuapply scholar ship ya kwenda MOZAMBIQUE kwani kila napojaribu kuapply through TCU kwa kuingiza CODE eg MZQ10 naambiwa match donot found sasa wadau naomba mnijuze nitumie njia gani?
 
Back
Top Bottom