TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

Hapo umekosea kujaza information zako. Maybe password haiendani na namba yako ya mtihani.....
 
sasa na chuo kipi ndugu. kama chuo nilichokuwa selected ni NIT,na walivyotoa first banch jina langu lilikuwe ila juzu NIT wametoa second na third banch jina langu halipo?

Kwani unaelewa nini maana ya second batch au third batch!!!!!!!!!!!!! wewe jina lako si liko first batch sasa ya pili au ya tatu inakuhusu nini boss!!!! kuna vyuo vinatoa mpaka batch sita boss kwa hyo we cha kufanya sakua hyo batch one uone kama jina lako limenyofolewa na humo, Ahsante
 
wakuu ni kweli kama uliomba ST.JOHNS UNIVERSITY 3rd round cheki kune website ya chuo husika wakuu wameshatoa NAWASILISHA
 
Duh pole sana pale unaandaliwa kuwa Fundi Mchundo...ungekuwa na akili kidogo ungepata CoET wanapoandaliwa wahandisi haswa.
 
sahau mkopo ww jipange kwani ulikuwa hujui kama mwaka huu unatakiwa kwenda shule nacte&heslb wanaamin ww unajira na utajsomesha.

Duuh..! kwann umesema hivyo kipusi?? sasa hao nacte & bodi ya mkopo wata mtabiria vipi mtu kama amaajir???
 
Back
Top Bottom