TCRA washughulikieni Halotel

TCRA washughulikieni Halotel

Huyu jamaaa ni k

Nasie wa open university tujiungie wapi, ukizingatia kila kitu ni on net.

Acha u k... Ebo... Halotel wana watu wa masoko ambao wako vizuri...

Huyu jamaaa ni jipu kweli... Yaani yeye na hao voda, tigo nk ambao daily ni kulalama akina nakidawa.
 
Huyu jamaa mwehu nini

Mimi sisomi chuo na natumia line ya halotel ya mwanachuo.
Roho mbaya tu huyu jamaa itakua kibaraka wa mtandao fulani
 
Naona hujui undani wa kampuni hiyo. Nahisi unawapa tcra kazi ngumu sana. Ukiona panya anamchekea paka jua shimo liko karibu.
 
Mi natumia halotel lakini sijui line ya chuo ni ipi, niliinunua mtaani lakini napata menyu ya chuo na najiunga popote! Mi najua ni utaratibu wao wa kawaida tu, na mimi nilishawishiwa na mtu tu, mbona simpo piga *148*55#..!
 
Hao jamaa wa Halotel wanatisha kwa promo kwani huku mozambique ukijiunga kifurushi cha maongezi chenye thamani ya tsh 1200 unaongea utakavyo na upendavyo ndani ya mtandao 24 horse.
Wewe hapana chezea VETINAM
 
ESCORT 1
Umesaidia kufikisha Ujumbe kwa hayo makampuni mengine ya simu kuhusu vifurushi vyao na watumiaji wanavyowatafsiri
 
Wewe umekosa hii huduma au inakupunguzia nini kama wasiyo wanachuo wakifaidika?.Jitathimini kabla hujasema kitu.
 
Back
Top Bottom