ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,409
- 3,028
Kampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.
Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.
TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.
Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.
Jumapili Njema Kwenu.