Hakuna jema,mvua ikinyesha lawama,jua likiwaka lawama,hakuna kampuni ya simu ambayo inawatendea haki Watanzania.wote ni wezi tu afadhali hata hao Halotel.Kampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.
Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.
TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.
Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.
Jumapili Njema Kwenu.
Wabongo bwana. Mm nilijua hawalipi kodi. Hata wakiamua watanzania watumie bure ni juu yao. Kikubwa walipe kodi stahikiKampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.
Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.
TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.
Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.
Jumapili Njema Kwenu.
umenikumbusha SWOT analysisHuna elimu ya kutosha kidadavua,kwenye masomo ya biashara lazima utakutana na kitu kinaitwa SWOT ANALYSIS yani STRENGTH,WEAKNESS OPPORTUNITY AND THREAT sasa nenda kajifunze nakupa homework katafute the meaning, wanachokifanya halotel ni to penetrate into market to get its market share so ni lazima wafanye tafiti hasa externally yani OPPORTUNITY&THREAT to get COMPETITIVE ADVANTAGE OVER THEIR RIVALS ili wateke soko NOTHING wanakosea, faida ipo kwa walaji kama kuna soko huria yani watoa huduma wanapo kuwa wengi, nashangaa wewe ndo kwanza unalalama,
hangover