TCRA washughulikieni Halotel

TCRA washughulikieni Halotel

Umewatangazia biashara sasa subiria mavuno, halotel wataongeza wadau wengine kama mm. Naenda kuitafuta hiyo laini kwa njia yoyote ile na mpaka niipate, na pia mm sio mwanachuo kwasasa. Nakushukuru kwa kunipatia taarifa maana nilikuwa sijui. Wale wa Mwanza nielekezeni tafadhali, wapi nitazipata hizo laini?
 
Kampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.

Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.

TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.

Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.

Jumapili Njema Kwenu.
Kwan wanasajili bila vitambulisho vya chuo
 
Lione kaz roho mby tyu....roho nyeusi km usiku wa jivu....tena bora umetangaza hum kesho na mie naenda kununua yangu tukuone
 
Huyu jamaa bila Shaka ni mfanyakazi wa tigo au Voda. Watu tumefurahi halotel wametukomboa yeye analeta umbeya humu! Sijui kakimbilia wapi! Mimi nimeshatupa line za tigo na Voda ni mwendo wa halotel tu
 
MI NIKITUMIA TIGO AMA voda UJUE NAMPIGIA BABU WAKIRARACHA
 
Kampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.

Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.

TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.

Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.

Jumapili Njema Kwenu.
MPWAA KUMBE N WEWEE DOH HAPA UMECHEMSHA KIDOGO KUMRADHI KWAKUTOFAUTIANA HAYO MAKAMPUNI YENU BOMUU....UMEJIULIZA KWANINI SERIKALI WAMEWAPA TENDER YA KUSAMBAZA NET HADI VIJIJIN NA SI TIGO WALA DAVO?? UTAELEWA WHO R THY NA INFO TU KUNA SYSTEM WANALETA YAANI TUTAWASAHAU KABISA TIGO NA DAVO
 
NAKUPONGEZA PIA MAANA AO WENGINE WATAJIONA MAFALA NA KURUDISHA VIFURUSHI VYAO..LABDA NIWASAIDIE HALOTEL ANY UNAWEZA KUJIUNGA NA VIFURUSHI VYACHUO UKIWA KARIBU NA CHUO
 
Yaonekana tu ni sho.ga hata ukiangalia maandishi yalivyopambwa kwa rangi mbali mbali.sasa wewe unaathirika kwa lipi?
Shogga maarufu wa Sinza Upo? Bado Hiyo Tigo Wanakwangua Au Umepumzika Kama Ulivyosema
 
Watanzania Wengi Ni Maskini Wa Kutupwa Mno Kama Si Sana. Nimewachokonoa Wote Mkajaa...Na Bado.
Acheni Kupenda Mteremko
 
Dah watu wengine punguani kweli! Kila vocha unayonunua ina 18% VAT deduction. Kila bandwidth unayotumia inarecodiwa na kuchajiwa, kadhalika airtime seconds, hakuna unafuu wa kodi kwenye ofa. Ni sawa na wewe kununua gari kisha ukawapa wanafunzi lift, road license utalipia ile ile
 
holotel ndo mpango mzima acha tufaidike sasa km tigo na voda wnatuibia tufanyaje
 
Kampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.

Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.

TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.
Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.

Jumapili Njema Kwenu.
Nadhani mtoa mada atakuwa mshirika wa moja kati ya makampuni aliyojidhihirisha kuyatetea kama sio basi itakua hajui asemalo labda kwakua haiishi mazingira yazungukayo vyuo. Hakuna kampuni ya sim isiyotoa line zenye university offers kwa raia wa mtaani wasiokuwa wanachuo. Labda wewe mtoa mada hukubahatika kupata hivyo inakuuma!
 
Ndezi kweli......

Huyu Jamaa ni Ndezi/Kilaza. Ndio Maana hata kwenye ile list ya Members 10 wa JF wanaoleta Mada zenye harufu ya Pumba, naye yumo.

Kwani akipewa Mtu laini ya Chuo kama yeye sio mwanafunzi, anatofauti gani na wewe ambaye sio mwanafunzi ila huenda kujibanza Karibu na Maeneo ya Chuo na ku-recharge kifurushi!???

Badilika.
 
Back
Top Bottom