TCRA washughulikieni Halotel

TCRA washughulikieni Halotel

Kampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.

Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.

TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.

Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.

Jumapili Njema Kwenu.
Huna elimu ya kutosha kidadavua,kwenye masomo ya biashara lazima utakutana na kitu kinaitwa SWOT ANALYSIS yani STRENGTH,WEAKNESS OPPORTUNITY AND THREAT sasa nenda kajifunze nakupa homework katafute the meaning, wanachokifanya halotel ni to penetrate into market to get its market share so ni lazima wafanye tafiti hasa externally yani OPPORTUNITY&THREAT to get COMPETITIVE ADVANTAGE OVER THEIR RIVALS ili wateke soko NOTHING wanakosea, faida ipo kwa walaji kama kuna soko huria yani watoa huduma wanapo kuwa wengi, nashangaa wewe ndo kwanza unalalama,
 
Uache Kutumia Vifurushi Vya Wanachuo Bora Uendelee Kurina Asali Hapo Kaliua Tabora
 
Kampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.

Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.

TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.

Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.

Jumapili Njema Kwenu.
Imefika wakati tuwe wazalendo,kama kweli hizo laini za wanachuo Hallotel kuna punguzo la kodi wamepewa na serikali,basi waziuze kwa wahusika nasio kinyume kwani inaonekana kama ni ukwepaji wa kodi pia inawaumiza competitors wake.
Roho mbaya inakuhusu,hoja zako dhaifu sana.
 
Imefika wakati tuwe wazalendo,kama kweli hizo laini za wanachuo Hallotel kuna punguzo la kodi wamepewa na serikali,basi waziuze kwa wahusika nasio kinyume kwani inaonekana kama ni ukwepaji wa kodi pia inawaumiza competitors wake.
Asante Sana Kwa Kunielewa Mkuu
 
Umetumwa na nani...siamini kama Halmashauri ya kichwa chako wewe kama mwanachuo imekutuma hivyo kanakwamba wewe ni mwanachuo milele....au mfanyakazi wa chuo nn?
 
Labda ulikwangua jini maana mama yangu alifariki **55 baada ya kunizaa mm. Isitoshe kiumri mie namzidi hata babaako, ndo maana baada ya kusoma tu nikajua kwamba ww UMEROGWA!
 
Busara Zangu Zilizotukuka Ndizo Zimenipa Msukumo
 
Labda ulikwangua jini maana mama yangu alifariki **55 baada ya kunizaa mm. Isitoshe kiumri mie namzidi hata babaako, ndo maana baada ya kusoma tu nikajua kwamba ww UMEROGWA!
Mkuu Pole Sana Kwa Kumpoteza Mama.
 
Kampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.

Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.

TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.

Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.

Jumapili Njema Kwenu.

biashara ya soko hulia
 
Back
Top Bottom