strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,312
Acha propaganda wewe
Nyie ndio waleeee wachoyo.Kampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.
Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.
TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.
Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.
Jumapili Njema Kwenu.
Kwa buku utapata laini mbilinahitahi lain moja please ya chuo.
utaisoma mi ninayo hiyo ni.balaa sana line za wanachuoNi Kweli Kabisa Upo Sahihi Mimi Nina Roho Mbaya Hitler Hafui DAFU
watu wengine ibwa kabisaHamia Halotel ndo habari ya mujini
Kama una rafiki au ndugu mwanachuo mwambie anunue laini ya halotel ya mwanachuo then akutumie details alizozitumia kusajilia alafu wew ufanye kurenew. Utainjoi sana unapata mb 500 kwa wiki.mkuu huyu haijuhi shinda ya kukosa option ya kuwa na mitandao mingi,ili uchague wenye nafuu!sasa mfano kule Tulya Iramba kuna mtandao mmoja wa Voda tu,ila mateso tuliyo yapata Mungu mwenyewe anajua!sasa hivi Halotel wapo uko,mpaka voda wameacha dharau na ukiritimba!sasa kwa masikini kama mimi nikiweka efu mbili napata mb 400 kwa wiki kwenye ka tecno kangu,nachati mpaka kiporo kinabaki ila nenda voda,uone!japo tigo wana unafuu wa buku moja unapata mb 150 kwa wiki,ila hawana coverage kubwa!
Ata renew sehemu alipo na mim ndo nilivyofanyaKukusajiri sio issue mkuui, BT utaipataje hiyo line
poa,asante dadaKama una rafiki au ndugu mwanachuo mwambie anunue laini ya halotel ya mwanachuo then akutumie details alizozitumia kusajilia alafu wew ufanye kurenew. Utainjoi sana unapata mb 500 kwa wiki.
Hiyo ni ya chuo kakaMi natumia halotel lakini sijui line ya chuo ni ipi, niliinunua mtaani lakini napata menyu ya chuo na najiunga popote! Mi najua ni utaratibu wao wa kawaida tu, na mimi nilishawishiwa na mtu tu, mbona simpo piga *148*55#..!
Wewe ni mwanga acha ukuda utabeba nyumbaKampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.
Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.
TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.
Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.
Jumapili Njema Kwenu.
wapi mkuu nitapataKwa buku utapata laini mbili