Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,165
Niliwaza kununua Dstv
kwahiyo ninunue kisimbuzi gani maana sitakagi stress
kwahiyo ninunue kisimbuzi gani maana sitakagi stress
Wapuuzi nanunua Azam au nitawatafuta canal nasikia wapo poasion haja ya hawa watu,,,hawafai hata kidogo
49,000/= kila mwezi ni nyingi Sana
Chukua Azam, dstv walikuwa poa sana miaka 3, 5 7 nyuma sio siku hizi wamekuwa miyeyusho sana.Niliwaza kununua Dstv
kwahiyo ninunue kisimbuzi gani maana sitakagi stress
Ahaa me nitawapa watu wa screpaNataka kutupa dish lao
Hawa Startimes wakoje mkuuChukua Azam, dstv walikuwa poa sana miaka 3, 5 7 nyuma sio siku hizi wamekuwa miyeyusho sana.
Mkuu, unaposema wanavuruga signal unakuwa una maana gani?, kwamba wana temper na dish lako au king'amuzi?.Tulishalalamika sana kuwahusu hao dstv, inawezekana wapo juu ya sheria......wanavuruga signal ili uende na decoder halafu wanaishia kukwambia ni mbovu utoe elf 30 itengenezwe....TCRA fuatilieni hawa watu, iweje kila ukienda na decoder wakwambie ni mbovu na matengenezo lazima iwe elf 30?
Startimes naona wapo local sana sijawahi vutiwa na channels zaoHawa Startimes wakoje mkuu
Nawataka hao canal, hivi wanapatikana wapi?Kwenye michezo Canal kwasasa hawana mpinzani ila tatizo ni zile kelele za kifaransa
Asante kwa maelezo ya sasa na awali..ubarikiwe.Startimes naona wapo local sana sijawahi vutiwa na channels zao
Telegram search Canal+ Makao Makuu Burundi utapata details zoteNawataka hao canal, hivi wanapatikana wapi?
Si kweli mimi niliangalia kwahiyo 19900 mechi zote za Euro chanel 225.Kuanzia robo final waliondoa mkuu. Wakahamishia kile Cha 29900
Watu Masikini tuna taabu nyingi sana halafu kama ni Kipaji tulichonacho basi ni cha kupenda Kulalamika pasipo Kujiridhisha jambo fulani lenye Umuhimu na Utaratibu wake hasa Kibiashara.Usanii huu wa DStv utaendelea mpaka lini? Au kwasabb serikali yetu ni dhaifu ndiyo maana mnafanya mnavyotaka?
Leo wameondoa channel namba 228 (super sport variety) Kwa vile Tu mashindano ya Olympic yataanza kesho kutwa!! Huu sio uungwana na ni wizi wa mchana tena ni usanii mtupu, haiwezekan tumelipia kifurushi ambacho hiyo channel inakuwepo alafu ghafla mnaondoa.
Mkuu hapa nakupinga mimi ni shuhuda, walihamisha chaneli kwenye kifurushi cha juuSi kweli mimi niliangalia kwahiyo 19900 mechi zote za Euro chanel 225.
Sasa hivi Olympics itakuwa 225 na jina wamebadilisha inaitwa Olypmics Badala ya Euro 2020.
Umechangia uharo na hukuWatu Masikini tuna taabu nyingi sana halafu kama ni Kipaji tulichonacho basi ni cha kupenda Kulalamika pasipo Kujiridhisha jambo fulani lenye Umuhimu na Utaratibu wake hasa Kibiashara.
Aisee uko sahihi. Nimewahi kulipia hicho kifurushi niliokota hela. Nili enjoy mwezi mzima. Saizi nimerudi kwenye 19000 yangu sioni faida yoyote baada ya kupata rahaNunua compact plus uinjoy maisha, binafsi na enjoy sana na dstv
Mimi niliangalia mechi zote bila tatizo.Mkuu hapa nakupinga mimi ni shuhuda, walihamisha chaneli kwenye kifurushi cha juu