TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
7,940
2,000
Hawa wa ajaabu kweli wasomi wa TCRA, zero kabisa.
Sasa mfano google wakitaka kuleta baadhi za service zao Tanzania mtawalazimisha wafute .com yao iliyoko nchi zote ili wa comply na .tz ya Tanzania. Ama wahamishe server zao zilizo huko duniani wazilete Tanzania??

Mtawalazimisha HUAWEI wabadili .com yao iliyoko huko duniani ili waweke dotz. ama Ericsson.com. Hivi humo TCRA kuna nini?

ama to be very specific, mtamulazimisha dangote afute .com iliyo nchi zingine ili aweke .com ya Tanzania. Huu ni ujuha wa wasomi wetu wa kiwango cha juu.
Huwezi pata wawekezaji kwa ku complicate vitu ambavyo viko obvious.
Mfano mwekezaji ana makampuni ktk nchi 100 mtamlazimisha kila nchi awe na domain name tofauti. Huu ujinga kweli tena wa hali ya juu.

Yani wasomi wazima mna risk kutafuta 25,000/= ili mpoteze uwekezaji wa mabilioni? Hakuna mwekezaji atayekuja kuwekeza kwa usumbufu huuu wa ajabu kabisa. Akisoma tu hizi habari anaacha kufikiria hata kuwekeza Tanzania.

Aachaneni na mambo ya kijima yaliyopitwa nawakati. hiyo sheria ya kulazimisha url ni sheria ya wakati wa ujima wa ulindi na ulimbombo.

Kama hii lesseni mtu amemaliza UDSM anaadika software yake unamwambia eti kuiweka sokoni alipe $10,000. Ha ha ha Hapo usham block harafu unakuja kumhubiria atumie utaalamu wake kujiajiri. On fee zao hapa
https://www.tcra.go.tz/images/documents/licensing information/licensingFees.pdf

Watu TCRA wanadanganywa na google.co.tz hii ni proxy tu lakini server zake ziko
Location information : google.co.tz
Country Code
US
Country Name
United States
Region
California
City
Mountain View
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
7,940
2,000
TCRA mnakimbiza wawekezaji nasiyo healthy kwa Taifa. Mfano ,
Google.com wamesajiriwa marekani lakini server zao ziko Dublin-Ireland.
Yahoo.com wamesajiriwa marekani lakini server zao ziko Dublin Ireland
Facebook.com wamesajiriwa marekani server zao ziko Dublin Ireland.

Internetworking ni modern bussiness, sahivi dunia iko kwenye electronic business yani machine-to-machine.
Mnavyowaza mtakuwa mmepitwa na wakati kabisa, hamtakuja kupata wawekezaji wa ukweli zaidi ya wezi wa madini.

Nani ataweka server yake Tanzania wakati bei ya bandwidth 100Mbps TTCL mna mcharge zaidi ya dola elfu US$30,000? nani atalipa hiyo? wakati aki host nje kwa 100Mbps analipa $70. Haharafu mkitoka hapo mkawahubirie wajiajiri? bure kabisa.
 
Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,833
2,000
Wasomi wa ajabu sana, Wanataka yote mwishowe watakosa yote!.

Wanataka watumie hiyo domain ili eventually wawe na power za kuthibiti mitandao hiyo. Lakini repercusions zake ni kubwa, eventually wanatuisolate kama north Korea!
Kuna mahali niliandika na kusema 'Laurence Mafuru ni Benchmark'
Hakukubali, alisema anachokiamini kwa kutumia elimu yake

Ukitazama suala zima la Max, hakuna mashtaka, bali yanatafutwa mashtaka

Ni kutaka kuzima mtandao huu unaopasha habari kila siku ili wafanye watakavyo

Hao wasomi ni 'ndiyo mzee'
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,860
2,000
Tumieni lugha ya staha...mnaposhauri ama kukosoa. Hata kama tuna hasira za kujaza gunia la debe sita. Huwezi kupewa majibu ama ushauri wako kutiliwa maanani kama unatanguliza lugha za kuudhi. Jifunze kushinda hisia za lugha chafu unapokwazika wakati unajiandaa kutoa maoni, ushauri, ama kuuliza swali.
-----------------
Mbona kama TCRA wamekanusha habari ya huyo Mwanasheria, tena kupitia verified user yao ya JF?
 
Hapo sawa kama wamekanusha,
Sasa wanamshitaki nini Melo kwamba anatumia .com badala ya .TZ?
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
7,940
2,000
Ningeweza ningeomba Wenye Internet WAIZIMIE kabisa Tanzania isiwe na huduma za Internet tuone hayo mabenki na kampuni za simu na vitengo vingine km havijafa! Wao si wanajifanya kibri? Nazima tu tap, kwishneyi!
Ha ha ha ha
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
7,940
2,000
TCRA
Wanakimbiza wawekazi na sheria zao zilizopitwa na wakati. Kwasababu, mwekezaji anayekuja lazima ana makampuni nchi zingine huwezi mletea vijiusumbufu vya ku reregister na alete server zake Tanzania.It's mad.

Mwekezaji huyu atakachofanya ni ku quit all together. Badala yake mtapata wawekezaji wezi wa dhahabu wanaochimbua mashimo na kuacha sumu kwenye mito na maziwa harafu masingizia wavuvi wa sumu kwa samaki kuisha ziwani.

yani unakimbiza muwekezaji kwa visheria vya ajabu ajabu kweli kuli register domain .tz ili iweje?
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,258
2,000
Jamani kabla hamjajenga hoja jaribuni kwanza kuisoma sheria ya The Electronic and Postal Communication Act 2011 (CAP. 306). Sheria hazina siasa.

if you own a .com, .org, and your company is registered in Tanzania, then you are required to register respective .tz domain.

Sheria haikulazimishi kubadili bali inakutaka kutoa taarifa kila baada ya mwezi kama bado unaendelea kutambulika na regional Internet registry (RIR).

Sheria inasema hivi;
11.(1) -All entities assigned with internet resources by the Regional Internet Registries (RIRs) shall submit to tzNIC on a monthly basis both assigned and in use Internet Protocol (IP) addresses.

(2) The tzNIC shall maintain an updated National Data Base of any IP addresses in use and registered domain names in the United Republic.

(3) The tzNIC shall after every three months starting January, 2012 submit to the Authority information on the assigned IP addresses and registered domain Names within that period.
 
Unaongea theory
"Sheria inasema hivi;
11.(1) -All entities assigned with internet resources by the Regional Internet Registries (RIRs) shall submit to tzNIC on a monthly basis both assigned and in use Internet Protocol (IP) addresses.
"

Maana ya nyeusi hapo inakutaka effectively server zako ziwe Tanzania. Sasa Ericsson walio na server zao Sweeden hawawezi pata IP address iliyoko Tanzania. Hawa ericcson itawabidi wahamishie server zao Tanzania. Which is ni kumfukuza asije kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom