TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

Jamani kabla hamjajenga hoja jaribuni kwanza kuisoma sheria ya The Electronic and Postal Communication Act 2011 (CAP. 306). Sheria hazina siasa.

if you own a .com, .org, and your company is registered in Tanzania, then you are required to register respective .tz domain.

Sheria haikulazimishi kubadili bali inakutaka kutoa taarifa kila baada ya mwezi kama bado unaendelea kutambulika na regional Internet registry (RIR).

Sheria inasema hivi;
11.(1) -All entities assigned with internet resources by the Regional Internet Registries (RIRs) shall submit to tzNIC on a monthly basis both assigned and in use Internet Protocol (IP) addresses.

(2) The tzNIC shall maintain an updated National Data Base of any IP addresses in use and registered domain names in the United Republic.

(3) The tzNIC shall after every three months starting January, 2012 submit to the Authority information on the assigned IP addresses and registered domain Names within that period.

Members wengi hapa hawawezi kukuelewa tulipoanza JF ilikuwa JF ya kiukweli sasa hivi imevamiwa na hawa viwavi kutoka kwa Jambazi sugu na Mbowe hawawezi kukuelewa wacha waisome number. Hakuna serikali yoyote ulimwenguni inayokubali uhunu na upuuzi ambao unatokea JF. Uzushi na umangimeza umetawala siku hizi zaidi, tubadilike waungwana sivyo JF itakuwa marehemu soon than later. Members ambao walikuwa wanatoa michango ya maana wengi wamejiweka kando kwa kile kinachoendelea hapa.
 
Tumieni lugha ya staha...mnaposhauri ama kukosoa. Hata kama tuna hasira za kujaza gunia la debe sita. Huwezi kupewa majibu ama ushauri wako kutiliwa maanani kama unatanguliza lugha za kuudhi. Jifunze kushinda hisia za lugha chafu unapokwazika wakati unajiandaa kutoa maoni, ushauri, ama kuuliza swali.
-----------------
Mbona kama TCRA wamekanusha habari ya huyo Mwanasheria, tena kupitia verified user yao ya JF?
hawajakanusha,hiyo post nyinginewaliituma 15th march 2016..kwa hiyo wamemeza matapishi yao,kwa kifupi hawajielewi hata wanchofanya.kauli yao rasmi ya sasa hivi ni ya huyo mwanasheria ambapo kina millard ayo na wengineo wameitwa watoto wazuri ingawa wana dot com,toto lijeuri ni jf
 
Sioni tofauti sana na habari hii hasa kwenye red ukizingatia Russia ni mmoja wa role models wa Tanzania:

"The firm said it "remains committed" to Google users in the country and told the BBC it has relocated engineers in other countries on previous occasions.

Google declined to say how many staff would be affected by the move.

In July this year, the Russian parliament passed a law requiring internet companies to store citizens' personal data inside the country.

The Kremlin has said the law is designed to aid data protection but critics have seen it as an attempt to censor internet access as the law would give the government powers to block sites which refused to comply.


Many tech companies store user data in huge data storage facilities around the world and do not link the location of the data to the location of the user, meaning that most users' data will not be kept in the same country as them."

Google moves engineers out of Russia - BBC News
 
Members wengi hapa hawawezi kukuelewa tulipoanza JF ilikuwa JF ya kiukweli sasa hivi imevamiwa na hawa viwavi kutoka kwa Jambazi sugu na Mbowe hawawezi kukuelewa wacha waisome number. Hakuna serikali yoyote ulimwenguni inayokubali uhunu na upuuzi ambao unatokea JF. Uzushi na umangimeza umetawala siku hizi zaidi, tubadilike waungwana sivyo JF itakuwa marehemu soon than later. Members ambao walikuwa wanatoa michango ya maana wengi wamejiweka kando kwa kile kinachoendelea hapa.

Futatilia vizuri
Ktk dunia hii sehemu inayo generate ajira nyingi za kujiajiri ni E-economy. Huwezi itumia hii nafasi kwa TCRA kuweka visheria vya ajabu ajabu vinavyozuia watu kujiajiri harafu hapo hapo unaongelea watu wajiajiri wajiajiri vipi?

New starter mfano TCRA eti ku operate ili uanze bussiness yako ya software uliyojitengenezea inabidi ulipe leseni ya $10,000 ili uanze. Yani uwalipe TCRA.

Na hii software inabidi i run kwenye hardware, na hiyo hardware ili uinstall i run Tanzania wanakutaka ulipe TCRA si chini ya $5000.
Na bado ujisajiri .TZ wakati naweza pata kwingine kwa elfu 6. Na bado server uziweke tanzania ambapo bei ya TTCL ni ya maruhani.
Sasa mtapata wapi new starters? new starter gani anayetoka chuoni ana hizo $$$$?

TCRA ni bomu kwa uchumi wa Tanzania. Viongozi wawe macho.
 
Maana ya Regional Internet Registries wanatoa public IP address , sasa mfano hapo ya hiyo sheria uko sahihi kama ina maana ya kwamba naweza kuwa na kampuni Tanzania, harafu nikawaletea information za kwa mfano kutoka Europe public address ama information za kutoka Marekani. Kama ni ndivyo hapo sawa.
Tatizo ninaloliona ni sisi watanzania kuanza kujadili masuala ya kisheria kwa mtazamo wa kisiasa.

Kuna watu wengi tu hata ukiwauliza kama wanafahamu maana ya Regional Internet Registries hawawezi kukupa jibu sahihi lakini cha kushangaza utawakuta wanajadili masuala ya Global Structure of the Internet Registry System.

Tatizo la Tanzania tulikuwa na serikali ambazo zilikuwa hazisimamii sheria na kwa maana hiyo, kwa sasa kila sheria inaonekana kama mpya au inawaonea wananchi.
 
Ni wapi wamesema server yako lazima iwe Tanzania?

Ndio maana unaona makampuni mengi nchini yameendelea kutumia .com mpaka sasa kwa sababu sheria inawaruhusu kufanya hivyo lakini lazima kila mwezi wawe wanatoa taarifa kama bado wanatambuliwa na Regional Internet Registries.

Kumbuka hii sheria imeanza kwaka 2011.
Kwahiyo kosa la Max ni kutotoa taarifa kila mwezi. Kuna uhakiki wa jambo hilo?

Na hilo ni kosa la kuzuiwa siku 3 mahabusu?

Na kwa muda gani JF haikutoa taarifa, na kwa muda wote huo hatua gani zilichukuliwa?

Je, Polisi walitaka ushirikiano huo wa taarifa au walitaka majina?

Jamani tuweni wakweli wa nafsi zetu na wengine. Hiki kinachofanyika ni kutafuta namna tu ya ku frustrate watu kwasababu wana maoni tofauti. Mbegu inayopandwa ya chuki na iliyomea ni ngumu kuikata. Haina masilahi kwetu sote bali ni idhara na madhila

Ndiyo maana leo kuna blog mbili zimesifiwa, si kwasababu ya ubora bali kushangilia kila kitu, kupiga picha za wakubwa, na kunukuu maneno. Hakuna critic. Hizo ni pendwa

JF kwa ukubwa wake katika nyanja zote inaonekana kikwazo.

Na hilo ndilo linapelekea kutafutwa sababu za kumkamata Max.

Wanaogopa kesi iliyoko mahakamani, wanatafuta visababu visivyo na mashiko.

Mafuru Laurence alisimama na kusema anachoamini ni sahihi, amelipa gharama.

Wengine wanasimama na matumbo yao, wanahadaa umma

Hawa ndio wasomi tunaowaita 'ndiyo mzee'

[HASHTAG]#freemacencemelo[/HASHTAG]
 
Tatizo ninaloliona ni sisi watanzania kuanza kujadili masuala ya kisheria kwa mtazamo wa kisiasa.

Kuna watu wengi tu hata ukiwauliza kama wanafahamu maana ya Regional Internet Registries hawawezi kukupa jibu sahihi lakini cha kushangaza utawakuta wanajadili masuala ya The Internet Registry System.

Tatizo la Tanzania tulikuwa na serikali ambazo zilikuwa hazisimamii sheria na kwa maana hiyo, kwa sasa kila sheria inaonekana kama mpya au inawaonea wananchi.

Mie siyo infliated na upinzani, kwanza fuatilia post zangu toka mwanzo uone kama ni siasa infliated.
Lakini TCRA wanaua uchumi wa Tanzania.
Sheria mbovu mbovu kila mahala. New starter huwezi mdai zaidi ya $10000 kuanza bussiness zake eti ajiajiri. ajiajiri vipi umesham block tayari.
 
Futatilia vizuri
Ktk dunia hii sehemu inayo generate ajira nyingi za kujiajiri ni E-economy. Huwezi itumia hii nafasi kwa TCRA kuweka visheria vya ajabu ajabu vinavyozuia watu kujiajiri harafu hapo hapo unaongelea watu wajiajiri wajiajiri vipi?

New starter mfano TCRA eti ku operate ili uanze bussiness yako ya software uliyojitengenezea inabidi ulipe leseni ya $10,000 ili uanze. Yani uwalipe TCRA.

Na hii software inabidi i run kwenye hardware, na hiyo hardware ili uinstall i run Tanzania wanakutaka ulipe TCRA si chini ya $5000.
Na bado ujisajiri .TZ wakati naweza pata kwingine kwa elfu 6. Na bado server uziweke tanzania ambapo bei ya TTCL ni ya maruhani.
Sasa mtapata wapi new starters? new starter gani anayetoka chuoni ana hizo $$$$?

TCRA ni bomu kwa uchumi wa Tanzania. Viongozi wawe macho.

Unaweza kufafanua hiyo biashara na hizo kodi ulizoweka kutoka TCRA? Au links za hizo tozo na aina ya biashara ya software?
 
Walishafanya siku nyingi , Melo alishikiliwa mwaka 2008 hadi akabadili jina kutoka jamboforums kwenda jamiiforums. Ji update kidogo.
Najuwa hilo kwa hiyo ni directive za Incumbent maana wakati ule aalikuwa Mkapa sasa Magufuli
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Unaweza kufafanua hiyo biashara na hizo kodi ulizoweka kutoka TCRA? Au links za hizo tozo na aina ya biashara ya software?
Umeongea vizuri ngoja niitafute link mtandao leseni za TCRA uone zinavyoua uchumi wa nchi. Zina mblock new starter promptly right there on spot.
 
Tatizo ninaloliona ni sisi watanzania kuanza kujadili masuala ya kisheria kwa mtazamo wa kisiasa.

Kuna watu wengi tu hata ukiwauliza kama wanafahamu maana ya Regional Internet Registries hawawezi kukupa jibu sahihi lakini cha kushangaza utawakuta wanajadili masuala ya The Internet Registry System.

Tatizo la Tanzania tulikuwa na serikali ambazo zilikuwa hazisimamii sheria na kwa maana hiyo, kwa sasa kila sheria inaonekana kama mpya au inawaonea wananchi.
Hakuna sheria upande mmoja. Kinachofanyika kwa Max na Lema havipo katika misingi ya sheria. Mara ngapi sheria kubwa kama katiba imesiginwa na wewe umekaa kimya?

Manataka sheria ili kuendelea kumuandama Max, hiyo ndiyo sheria. Hamfuati sheria 'to the letter' manageuza geuza hadi katiba haifuatwi.

Tafadhali kama huna la kusema kaa kimya, kuna ghadhabu kwa jamii

Tunatumia vyombo vya umma kuwaaadhibu watu kabla ya sheria!!

Hivi kuna sheria inayosema mtu akamatwe bila kosa halafu uchunguzi ufanyike

Kaeni kimya maana mnazidi kujenga chuki kama unavyosoma mtandaoni.

Hizi chuki mnazopanda si jambo la kuchekea, ni tatizo letu sote kama Taifa

[HASHTAG]#freemacencemelo[/HASHTAG]
 
Wataifungia je? hicho kitu kiko nje ya uwezo wao.
Wao hawajui domain name ni nickname tu, sasa watafungua je? usomi mwingine unatia huruma na hasira. TCRA wanafanya mambo kama hawajaenda shule kabisa.
Unachekesha.

Eti hawawezi kuifungia. Hivi unajua maana ya serikali wewe?

Ni shauri tu kwamba sisi memba wa huu matandao tujifunze kuwa wakosoaji na sio watukanaji.
 
Ndugu zangu kwa haya yanayoendelea mnaona TCRA kuna wasomi??tunaona namna walivyo vichwa maji hamna kitu kabisaa wote wapo empty mpaka huyo wakili wao aliyekuwa anaongea na yeye hajui kitu kabisaaaaa.....inabidi kufanyike mabadiliko ya hali ya juu.....UK ni nchi kubwa duniani na haiwapangii wananchi wake nini watumie.....
 
hamna
Jamani kabla hamjajenga hoja jaribuni kwanza kuisoma sheria ya The Electronic and Postal Communication Act 2011 (CAP. 306). Sheria hazina siasa.

if you own a .com, .org, and your company is registered in Tanzania, then you are required to register respective .tz domain.

Sheria haikulazimishi kubadili bali inakutaka kutoa taarifa kila baada ya mwezi kama bado unaendelea kutambulika na regional Internet registry (RIR).

Sheria inasema hivi;
11.(1) -All entities assigned with internet resources by the Regional Internet Registries (RIRs) shall submit to tzNIC on a monthly basis both assigned and in use Internet Protocol (IP) addresses.

(2) The tzNIC shall maintain an updated National Data Base of any IP addresses in use and registered domain names in the United Republic.

(3) The tzNIC shall after every three months starting January, 2012 submit to the Authority information on the assigned IP addresses and registered domain Names within that period.
kitu hapo cha maana.
 
Wataifungia je? hicho kitu kiko nje ya uwezo wao.
Wao hawajui domain name ni nickname tu, sasa watafungua je? usomi mwingine unatia huruma na hasira. TCRA wanafanya mambo kama hawajaenda shule kabisa.

Hawa ni serikali mkuu wakiamua hata kesho asubuhi wanaweza kuifunga na kuifuta kabisaaaaaa mbona kipindi fulani waliiweka Jamiiforums down...wakiamua wanaweza sema wanafata sheria now
 
Haya hizo hapo uone TCRA wenu na sheria za ajabu ajabu
https://www.tcra.go.tz/images/documents/licensing information/licensingFees.pdf

Hawa TCRA siyo.
Inatakiwa nchi iwe friendly kwenye bussiness, na siyo ku block watu hata kuanza.
Mkuu hizi leseni sio zinawekwa tu, inategemea na biashara unayofanya, mbona naona zipo za bure vile vile? Kama vipi unaweza kufafanua ni ipi maana ya USD 5000 ni nationally. Then mara nyingi hizi zinapowekwa wanaangalia uwiano na nchi zingine, unaweza kutoa specifics na thamani ya biashara baada ya mwaka moja?
 
Back
Top Bottom