Hawa wa ajaabu kweli wasomi wa TCRA, zero kabisa.
Sasa mfano google wakitaka kuleta baadhi za service zao Tanzania mtawalazimisha wafute .com yao iliyoko nchi zote ili wa comply na .tz ya Tanzania. Ama wahamishe server zao zilizo huko duniani wazilete Tanzania??
Mtawalazimisha HUAWEI wabadili .com yao iliyoko huko duniani ili waweke dotz. ama Ericsson.com. Hivi humo TCRA kuna nini?
ama to be very specific, mtamulazimisha dangote afute .com iliyo nchi zingine ili aweke .com ya Tanzania. Huu ni ujuha wa wasomi wetu wa kiwango cha juu.
Huwezi pata wawekezaji kwa ku complicate vitu ambavyo viko obvious.
Mfano mwekezaji ana makampuni ktk nchi 100 mtamlazimisha kila nchi awe na domain name tofauti. Huu ujinga kweli tena wa hali ya juu.
Yani wasomi wazima mna risk kutafuta 25,000/= ili mpoteze uwekezaji wa mabilioni? Hakuna mwekezaji atayekuja kuwekeza kwa usumbufu huuu wa ajabu kabisa. Akisoma tu hizi habari anaacha kufikiria hata kuwekeza Tanzania.
Aachaneni na mambo ya kijima yaliyopitwa nawakati. hiyo sheria ya kulazimisha url ni sheria ya wakati wa ujima wa ulindi na ulimbombo.
Kama hii lesseni mtu amemaliza UDSM anaadika software yake unamwambia eti kuiweka sokoni alipe $10,000. Ha ha ha Hapo usham block harafu unakuja kumhubiria atumie utaalamu wake kujiajiri. On fee zao hapa
https://www.tcra.go.tz/images/documents/licensing information/licensingFees.pdf
Watu TCRA wanadanganywa na google.co.tz hii ni proxy tu lakini server zake ziko
Location information : google.co.tz
Country Code
US
Country Name
United States
Region
California
City
Mountain View