Ni wapi wamesema server yako lazima iwe Tanzania?Unaongea theory
"Sheria inasema hivi;
11.(1) -All entities assigned with internet resources by the Regional Internet Registries (RIRs) shall submit to tzNIC on a monthly basis both assigned and in use Internet Protocol (IP) addresses."
Maana ya nyeusi hapo inakutaka effectively server zako ziwe Tanzania. Sasa Ericsson walio na server zao Sweeden hawawezi pata IP address iliyoko Tanzania. Hawa ericcson itawabidi wahamishie server zao Tanzania. Which is ni kumfukuza asije kabisa.
Wanabodi,
Kwanza naomba kuchukua fursa hii kuungana na Wana JF wenzangu kupeana pole kwa kilichomkuta Mkuu Max.
Alipokamatwa nilikwenda kumuona pale central na kuzungumza nae kwa kina.
Kwa sasa niko ziarani kutembelea Central Corridor, next week nitarejea na kuunganisha nguvu.
Huu ni wito wangu kwa wana JF, pamoja na uchungu wote, pamoja na hasira zote, no matter how bad our situation is, please let us not to loose our temper, if we loose our temper, we can make it worse hadi kuihatarisha JF kufungwa.
What is happening to Max, it's an injury, please let's not add an insult to an injury, tutamponza zaidi Max na you never know...
Kila mwenye akili ameisha jua kinachoendelea, tupunguze jazba, tuwe watulivu tuiache karma itake it's cause ndio sheria pekee ya haki bin haki, hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuizuia karma, let's keep calm sit and watch as karma takes care of the situation.
Maxi Pole Sana kwa mateso haya, ni kwa kuteswa kwako, sisi tutaponywa na JF itaendelea kusimama juu zaidi, bigger and stronger.
God Bless You,
God Bless JF,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Wataifungia je? hicho kitu kiko nje ya uwezo wao.
Wao hawajui domain name ni nickname tu, sasa watafungua je? usomi mwingine unatia huruma na hasira. TCRA wanafanya mambo kama hawajaenda shule kabisa.
Ni wapi wamesema server yako lazima iwe Tanzania?
Ndio maana unaona makampuni mengi nchini yameendelea kutumia .com mpaka sasa kwa sababu sheria inawaruhusu kufanya hivyo lakini lazima kila mwezi wawe wanatoa taarifa kama bado wanatambuliwa na Regional Internet Registries.
Kumbuka hii sheria imeanza kwaka 2011.
Unaongea theory
"Sheria inasema hivi;
11.(1) -All entities assigned with internet resources by the Regional Internet Registries (RIRs) shall submit to tzNIC on a monthly basis both assigned and in use Internet Protocol (IP) addresses."
Maana ya nyeusi hapo inakutaka effectively server zako ziwe Tanzania. Sasa Ericsson walio na server zao Sweeden hawawezi pata IP address iliyoko Tanzania. Hawa ericcson itawabidi wahamishie server zao Tanzania. Which is ni kumfukuza asije kabisa.
Wanabodi,
Kwanza naomba kuchukua fursa hii kuungana na Wana JF wenzangu kupeana pole kwa kilichomkuta Mkuu Max.
Alipokamatwa nilikwenda kumuona pale central na kuzungumza nae kwa kina.
Kwa sasa niko ziarani kutembelea Central Corridor, next week nitarejea na kuunganisha nguvu.
Huu ni wito wangu kwa wana JF, pamoja na uchungu wote, pamoja na hasira zote, no matter how bad our situation is, please let us not to loose our temper, if we loose our temper, we can make it worse hadi kuihatarisha JF kufungwa.
What is happening to Max, it's an injury, please let's not add an insult to an injury, tutamponza zaidi Max na you never know...
Kila mwenye akili ameisha jua kinachoendelea, tupunguze jazba, tuwe watulivu tuiache karma itake it's cause ndio sheria pekee ya haki bin haki, hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuizuia karma, let's keep calm sit and watch as karma takes care of the situation.
Maxi Pole Sana kwa mateso haya, ni kwa kuteswa kwako, sisi tutaponywa na JF itaendelea kusimama juu zaidi, bigger and stronger.
God Bless You,
God Bless JF,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Wazo zuri sanaMax anweza amua kwenda kuishi kenya na bado website ikaendelea kuoparate tanzania
Sio mwanasheria lakini sioni kipi kwenye hicho kifungu kinakupelekea kwenye tafsiri hiyo.
TCRA wana mabaya yao lakini kwa hili hapana, sijaona taarifa yoyote mpaka sasa inayosema hii kesi wamepeleka wao. La msingi alilosema bwana uliyemquote ni hii ndio sheria. Na imepitishwa na mwakilishi wako. Pengine tutakuwa tunafanya la maana zaidi nguvu tukielekeza huko.
Pale Sheria mbaya zinapopitishwa na wawakilishi wetu kulinda matakwa yasio yetu, uwakilishi uko wapi? Na dawa sio bunge lenye uwiano sawa. Kwenye mazingira ya kawaida kila mtu anachagua independently kwa hiyo hakuna jinsi ya kuhakikisha (guarantee) uwiano sawa. Na hata pale utakapopata perfect uwiano wa 50% kila upande, unategemea (rely) tabia ya wawakilishi kuungana (caucus) aidha kupingana au kuungana (against or in support) ya dola. Political climate inaweza kubadilika hapo baadaye tabia hii mbaya ikakoma. Unachotaka ni uwakilishi unaowakilisha mawazo yako, matakwa (interests) zako. Pale ambapo mwakilishi hakuwakilishi na anakwenda kinyume, una nguvu gani ya kusema hapana? Kwa jamii inayopima ubora wa mwakilishi wake kwa miradi ya maji na barabara, nini kinazuia sheria mbaya kupita zinazokandamiza haki hasa ya minority?
Hawa wa ajaabu kweli wasomi wa TCRA, zero kabisa.
Sasa mfano google wakitaka kuleta baadhi za service zao Tanzania mtawalazimisha wafute .com yao iliyoko nchi zote ili wa comply na .tz ya Tanzania. Ama wahamishe server zao zilizo huko duniani wazilete Tanzania??
Mtawalazimisha HUAWEI wabadili .com yao iliyoko huko duniani ili waweke dotz. ama Ericsson.com. Hivi humo TCRA kuna nini?
ama to be very specific, mtamulazimisha dangote afute .com iliyo nchi zingine ili aweke .com ya Tanzania. Huu ni ujuha wa wasomi wetu wa kiwango cha juu.
Huwezi pata wawekezaji kwa ku complicate vitu ambavyo viko obvious.
Mfano mwekezaji ana makampuni ktk nchi 100 mtamlazimisha kila nchi awe na domain name tofauti. Huu ujinga kweli tena wa hali ya juu.
Yani wasomi wazima mna risk kutafuta 25,000/= ili mpoteze uwekezaji wa mabilioni? Hakuna mwekezaji atayekuja kuwekeza kwa usumbufu huuu wa ajabu kabisa. Akisoma tu hizi habari anaacha kufikiria hata kuwekeza Tanzania.
Aachaneni na mambo ya kijima yaliyopitwa nawakati. hiyo sheria ya kulazimisha url ni sheria ya wakati wa ujima wa ulindi na ulimbombo.
TCRA wanauwezo wa kuifunga jamii forum tz lakini inchi nyingine duniani zikaendelea kupatikana sasa nasikia Kuna njia ya Ku access hata kama wataifungia
upuuzi mtupu eti TCRA sio Magufuli mbona munakwepa source walikuwa wapi kufanya wayafanyayo sasa huko nyuma