GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,033
Kama neno Ufirauni hulijui utaweza kweli Kuielewa Nadharia pana ila Hasi iliyojaa katika Vichwa vya Watanzania wengi kuhusu neno la kwa Mpalange?Kwa "Mpalange" kuna husiana vipi na "ufirauni"?
Hebu fafanua ndugu.
Naelekea kukutana na Dada yako huko.Brazaa kwa mpalange kunatopeeee
Simkubali Kikwete ila kwa hili namtetea.Huku ni kumkosea adabu Rais mstaaafu Jakaya Kikwete hao CMG huwa wanajisahau sana.
Asubuhi ulianza kuhoji kauli zake kule Chato. Na sasa unahoji hamasa ya kwa Mpalange !!. KulikoniKama neno Ufirauni hulijui utaweza kweli Kuielewa Nadharia pana ila Hasi iliyojaa katika Vichwa vya Watanzania wengi kuhusu neno la kwa Mpalange?
Acha Kunipotezea muda na usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa Upumbavu wako wa Kurithishwa sawa? Wapishe walionielewa wajadili Mada hii.
Acha Uwongo tafadhali na usidhani Wote tuliopo hapa JamiiForums ni Ngumbaru (Wajinga) na Popoma (Wapumbavu) kama ulivyo.Hilo eneo hata hawaishi watu, nilipata kuona mzee mmoja akilionesha na kulielezea hilo eneo katika kipindi cha runinga Wasafitv.
Kama 'Mtutsi' nina 'Bifu' nae Kubwa tu.Asubuhi ulianza kuhoji kauli zake kule Chato. Na sasa unahoji hamasa ya kwa Mpalange !!. Kulikoni
Je Jk anakunyima usingizi au tu ni bahati mbaya leo umemuwaza negatively
Huu ndiyo "ufirauni" ninao uzungumzia. Sasa wewe tufafanulie huko kwa "Mpalange" kuna husiana vipi na hoja yako.'Kwa Mpalange' ni sehemu ya 'Kuhamasisha' Ufanyaji Ngono Kinyume na Maumbile kutoka kwa Mwanaume kwenda kwa Mwanamke.
Yameisha wengine kuchambana hatuwezi,umeshinda.Acha Uwongo tafadhali na usidhani Wote tuliopo hapa JamiiForums ni Ngumbaru ( Wajinga ) na Popoma ( Wapumbavu ) kama ulivyo.
Wiki Mbili tu zimepita Mtangazaji wa Wasafi Media Hillary Daud ( Zembwela ) alienda Kufanya Kipindi huko na hilo eneo la 'Mpalange' lipo Yombo ambapo alimhoji Dada Mmoja Hadija na Mzee na Wote walikuwa wakizungumza wakuwa hapo hapo kwa Mpalange Yombo.
Haya endelea Kudanganya tena hapa JF.
Una hoja nzuri sana. Tangazo lolote la biashara linapotoa tafsiri potofu kwa jamii hata kama halikukusudiwa kutoa tafsiri ile linatakiwa lisitumike. Kulingana na maelezo yako (mimi sijalisikia) linatakiwa lisitishwe haraka sana kwani linahamasisha mambo ya ufirauni kwa jamii.Kama neno Ufirauni hulijui utaweza kweli Kuielewa Nadharia pana ila Hasi iliyojaa katika Vichwa vya Watanzania wengi kuhusu neno la kwa Mpalange?
Acha Kunipotezea muda na usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa Upumbavu wako wa Kurithishwa sawa? Wapishe walionielewa wajadili Mada hii.
Ndiyo hammuwezi sasa !!.Kama 'Mtutsi' nina 'Bifu' nae Kubwa tu.
TCRA itabidi I deal na wewe kwanza mleta mada..Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete ( iliyoigizwa ) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa.
Hapa GENTAMYCINE nimejikuta nikianza Kujiuliza Maswali mengi sana moja wapo ni kwamba mbona Clouds FM hawafanyii Utani ( Dhihaka ) Sauti za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata Magufuli ila kwa Kikwete imekuwa Rais Kwao na ndiyo Chaguo lao bora?
Najua fika kuwa 'Kwa Mpalange' ni eneo la Makazi ya Watu huko Yombo, ila tusiwe Wanafiki hapa wala Kuficha kuwa Masikioni mwa Watanzania wengi sasa neno 'Kwa Mpalange' ni sehemu ya 'Kuhamasisha' Ufanyaji Ngono Kinyume na Maumbile kutoka kwa Mwanaume kwenda kwa Mwanamke.
Media za Tanzania hebu ifike muda sasa tuwaheshimu hawa waliowahi kuwa Marais wetu ( sasa Wastaafu ) kwa 'Kimakusudi' kutumia Sauti zao ( hata kama ni za Kuigiza ) katika Mambo ya Kihuni na yasiyo na Staha pamoja na Maadili.
Ninahisi DG mpya wa TCRA ni Mlokole.
Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete ( iliyoigizwa ) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa.