idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,314
Wakiamua hakuna cha kuwazuia, hana kwa kuropokea labda huko nchi za mbali...Kana siri nyingi za ushindi wa uchaguzi 2020
Ni ngumu kutofautisha maamuzi ya CCM na maamuzi ya serikali.
Hivyo kutoa siri za CCM sawa na kutoa siri za serikali, vivyo hivyo kutoa siri za serikali sawa na kutoa siri za CCM...