NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,038
- 4,028
Kazi ya TBS ni kukagua bidhaa mbali mbali kama ziko salama kwa watumiaji.
Nashauri pia mpime vilainisho vya magari yaani oil maana hapo Dar kuna kampuni fulani ya wahindi wanatengeneza oil za magari lakini kuna kipimo kimoja kinaitwa TBN kinatoa jibu la sifuri.
TBN au Total Base Number ni additive inayoongezwa kwenye base oil ili kupunguza athari za acid ili engine isi knock.
Kuna watumiaji wa vyombo vya moto engine zao zime knock kutokana na hii Oil.
Nawaomba TBS fuatilieni oil za makampuni mbalimbali kuweka mambo sawa.