Tbc tv ovyo kabisa! Ni aibu kwa shirika hili la umma.

tido atakumbukwa tu! kwa ujnga huu unaoendelea!!


Alikuwa ni Bonge la Jembe binafsi nilikuwa najivunia kuwa na Television ya Taifa inayoripoti habari fresh Wananchi mnatuma maoni yenu........ na yanasomwa hapo hapo lkn sasa hivi wapiiiiiiii inazidi kufulia siku hadi siku

WAPI TIDO MHANDO
 
Chadema imenipiga marufuku kuangalia TBC,mwenzetu mbona una masikio,tumeshakatazwa kuangalia hiyo television,acha mara moja mkuu.
 
Alikuwa ni Bonge la Jembe binafsi nilikuwa najivunia kuwa na Television ya Taifa inayoripoti habari fresh Wananchi mnatuma maoni yenu........ na yanasomwa hapo hapo lkn sasa hivi wapiiiiiiii inazidi kufulia siku hadi siku

WAPI TIDO MHANDO

Tido Mhando ni Mkurugenzi wa bodi ya wakurugenzi ya Mwananchi. Amekuwa kama ule mfano wa Ukimpiga Chura Teke Umemsaidia kupunguza umbali wa safari yake. Kwa maana kuwa amekuwa matawi ya juu sana kuliko pale alipokuwa TBC na kumbuka pale alikuwa na kazi ya mkataba na siyo kazi ya ajira aya kudumu.
 
I noticed that too Ndumbayeye

halafu na huu umekuwa ni kama utaratibu wao vile wa kuchelewesha habari kisa matangazo yao ya kijinga ya biashara,yaani siku hizi mpango mzima ni Star TV na ITV katika suala zima la habari,hawa wamebakia maMburula wa magamba tu. SHAME ON TBC,SHAME ON MAGAMBA
 
Je, na TBC kutangaza wasanii nusu uchi, matangazo yaoneshayo sehemu nyeti-kuwadhalilisha wanawake! hawajali
kuharibu akili za watoto. Hii sio Tv ya taifa.
 
Back
Top Bottom