TBC, mnawatia aibu Watanzania

TBC, mnawatia aibu Watanzania

Wakimtaja tu "wazuri wasiokufa" watawalabua vibaya!!
 
Kama vipi wavunje ile "Tanzanite bridge", Ubungo interchange/flyover na kuvunja ile mega hydropower plant ili wasife, wazuri hawafi jamani.
 
Hiyo ni system ......kipindi Cha Magufuli pia alikuwa hatajwi mwingine isipokuwa yeye, Leo Samia akiondoka tunafuta jina na chochote alichosimamia. Hongera majina ya Marais wetu kuendelea kuandikwa kwa penseli.....wakiondoka tunafuta
 
Leo nimefuatilia katika matangazo yenu kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Kwa asilimia kubwa mnajitahidi sana kutomtaja John Pombe Magufuli katika ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Sijajua kama ni maelekezo au ni matatizo yenu tu ya kutaka kujikomba kwa wenye mamlaka.

Mtanzania yeyote mwenye kichwa kizuri kabisa hawezi kuzungumzia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma bila kumtaja John Pombe Magufuli.

Ukiachana na Mwl. Nyerere, JPM ni Rais pekee aliyeshupalia ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Ndio maana Watanzania wengi si wapenzi wa kusikiliza TBC, kwa sababu kama hizo.

Badilikeni, hizi ni nyakati nyingine. Hilo hata mtoto mdogo kabisa wa darasa la kwanza anajua.
Sasa itasaidia nini kumtaja marehemu?
Tena marehemu mwenyewe alikuwa hitler, laxma zitafutwe mbinu za kukwepa kumtaja ili watoto na wajukuu wasije kuwa na tabia kama zake
 
Leo nimefuatilia katika matangazo yenu kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Kwa asilimia kubwa mnajitahidi sana kutomtaja John Pombe Magufuli katika ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Sijajua kama ni maelekezo au ni matatizo yenu tu ya kutaka kujikomba kwa wenye mamlaka.

Mtanzania yeyote mwenye kichwa kizuri kabisa hawezi kuzungumzia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma bila kumtaja John Pombe Magufuli.

Ukiachana na Mwl. Nyerere, JPM ni Rais pekee aliyeshupalia ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Ndio maana Watanzania wengi si wapenzi wa kusikiliza TBC, kwa sababu kama hizo.

Badilikeni, hizi ni nyakati nyingine. Hilo hata mtoto mdogo kabisa wa darasa la kwanza anajua.
TBC ni kama bomba tu, mwenye kulimiliki (serikali iliyopo madarakani) ndio huamua maji gani yatoke, ama masafi au machafu. Kipindi cha utawala wa Magufuli, TBC ilikuwa busy kuhubiri kila ugoro wake na sasa Magufuli akiwa hayupo tena madarakani TBC hiyo hiyo imeamua kupotezea kila chema cha Magufuli. Hivyo hakuna cha ajabu, hiyo ndio TBC tunayoijua siku zote.
 
We umekuwa mkweli, Mungu akubariki. Huyo mleta mada ni MNAFIKI wa kupitiliza!
 
Television Ya Hovyo Wanashindwa Kumtaja Mzilankende Wakati Anakufa Ameshajenga Hayo Majengo Dodoma, Television Ambayo Inarusha Matangazo Mbashara Hapo Mnazi Mmoja Halafu Studio Zao Zipo Hapo Dar Es Salaam Na Bado Matangazo Yanakatika Hovyo Hovyo

Halafu Wanajisifu Hawaoni Azam Anarusha Live Kutoka Kagera Na Hayakatiki
 
Leo nimefuatilia katika matangazo yenu kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Kwa asilimia kubwa mnajitahidi sana kutomtaja John Pombe Magufuli katika ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Sijajua kama ni maelekezo au ni matatizo yenu tu ya kutaka kujikomba kwa wenye mamlaka.

Mtanzania yeyote mwenye kichwa kizuri kabisa hawezi kuzungumzia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma bila kumtaja John Pombe Magufuli.

Ukiachana na Mwl. Nyerere, JPM ni Rais pekee aliyeshupalia ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Ndio maana Watanzania wengi si wapenzi wa kusikiliza TBC, kwa sababu kama hizo.

Badilikeni, hizi ni nyakati nyingine. Hilo hata mtoto mdogo kabisa wa darasa la kwanza anajua.
Kwani hata wakimtaja, unatumaini atafufuka aje kuishi tena Chamwino?
 
Hivi Kikwete aliasisi mambo mangapi ambayo JPM alithubutu kuyahusisha na utawala wake, ama hata kuyaenzi kwa ajili ya heshima yake!? TBC ni lazima ijikite katika masuala yanayofanyika hivi sasa, mambo ya yaliyopita kuhusu michango ya viongozi waliopita yabaki katika kumbukumbu za vitabu vya kihistoria, kwa kuwa yote hayo yamekuwa ni ya kale.

Kukamilika kwa ujenzi wa ikulu hii mpya ni jitihada za serikali kupitia kodi za wananchi, pasipo kujali ni kiongozi gani alikuwa madarakani. Haijalishi JPM akiwa kama Rais wa nchi alifanya nini na wapi kuhusu kitu chochote kile, ikiwemo mchango wake katika ujenzi ikulu hii, kwa kuwa huo ulikuwa ni wajibu wake kikatiba.
 
Leo nimefuatilia katika matangazo yenu kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Kwa asilimia kubwa mnajitahidi sana kutomtaja John Pombe Magufuli katika ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Sijajua kama ni maelekezo au ni matatizo yenu tu ya kutaka kujikomba kwa wenye mamlaka.

Mtanzania yeyote mwenye kichwa kizuri kabisa hawezi kuzungumzia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma bila kumtaja John Pombe Magufuli.

Ukiachana na Mwl. Nyerere, JPM ni Rais pekee aliyeshupalia ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Ndio maana Watanzania wengi si wapenzi wa kusikiliza TBC, kwa sababu kama hizo.

Badilikeni, hizi ni nyakati nyingine. Hilo hata mtoto mdogo kabisa wa darasa la kwanza anajua.
Waache wasimtaje, lakini Kila mtu analijua hilo ya Kwamba bila Mwamba Magufuli kuijenga isingelikuwapo!
 
Leo nimefuatilia katika matangazo yenu kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Kwa asilimia kubwa mnajitahidi sana kutomtaja John Pombe Magufuli katika ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Sijajua kama ni maelekezo au ni matatizo yenu tu ya kutaka kujikomba kwa wenye mamlaka.

Mtanzania yeyote mwenye kichwa kizuri kabisa hawezi kuzungumzia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma bila kumtaja John Pombe Magufuli.

Ukiachana na Mwl. Nyerere, JPM ni Rais pekee aliyeshupalia ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Ndio maana Watanzania wengi si wapenzi wa kusikiliza TBC, kwa sababu kama hizo.

Badilikeni, hizi ni nyakati nyingine. Hilo hata mtoto mdogo kabisa wa darasa la kwanza anajua.
Mkuu unahitaji nishani ya uzalendo....unatazama TBC? hongera sana, hivi bado ipo?
 
Leo nimefuatilia katika matangazo yenu kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Kwa asilimia kubwa mnajitahidi sana kutomtaja John Pombe Magufuli katika ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Sijajua kama ni maelekezo au ni matatizo yenu tu ya kutaka kujikomba kwa wenye mamlaka.

Mtanzania yeyote mwenye kichwa kizuri kabisa hawezi kuzungumzia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma bila kumtaja John Pombe Magufuli.

Ukiachana na Mwl. Nyerere, JPM ni Rais pekee aliyeshupalia ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Ndio maana Watanzania wengi si wapenzi wa kusikiliza TBC, kwa sababu kama hizo.

Badilikeni, hizi ni nyakati nyingine. Hilo hata mtoto mdogo kabisa wa darasa la kwanza anajua.
Naona wanamtaja kikwete yani hii nchi sijui wanafikri ni zama za giza
 
Mbona kipind cha magu tbc haikuwah kumtaja kikwete hata kwenye mambo mazuri na hukulalamika... Usikariri mkuu, kila zama na kitabu chake. USILAZIMISHE HUYO MAGUFULI KUNA WENGINE WALISHAMFUTA KICHWAN
Wanateseka misukule ya Magufuli. Yaani wanalazimishia tu asisahaulike
 
Acha uongo, kuna miradi alikataa hata kuipa jina lake na kuamuru ipewe majina ya watangulizi wake.
Taja mifano ya miradi aliyoianzisha jiwe na kuipa majina ya watangulizi wake ukiondoa daraja la Kigamboni alilojenga Kikwete
 
Huyo kikwete wako alikuwa na kitu gani kizuri, zaidi ya ufisadi, uzembe, kuchekeana na lousy presidency?
Kama ambvyo Shetani lenu la Chato halikuwa na zuri zaidi ya kupiga watu risasi na kunyima haki za watumishi wa Umma
 
....mwosha huoshwa. Miradi mingi aliyokuwa anazindua ambayo ilianzishwa na mtangulizi wake alijipa sifa yeye peke yake hakutaka kabisa mwenzake atajwe au aisfiwe!
Kama upi?
 
Back
Top Bottom