Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,930
- 100,194
Tumshukuru sana jiipiiem kwa "kuiumba" dunia hii.Bila yeye tungefukuzwa wote tukaishi kwenye nyota.🙄🙄🙄
Ndivyo wanavyotamani kusikia hawa ndg zangu wasukuma🤣Tumshukuru sana jiipiiem kwa "kuiumba" dunia hii.Bila yeye tungefukuzwa wote tukaishi kwenye nyota.🙄🙄🙄
Wanalazimisha mambo hao!Mola awarehemu.🤔Ndivyo wanavyotamani kusikia hawa ndg zangu wasukuma🤣
Tofautisha kusaini mkataba na pesa kutoka/mradi kutekelezwa. Hao kina JPM walisaini clause iliyolazimisha kampuni inayopewa tender iwe ipi na ndio gharama zimeongezeka mnoo, so kina Samia anatekeleza tu mkataba uliosaniwa kifisadi na awamu ya 5.Kwenye wizi wa mradi wa reli moro-dom-singida mnasema magu ndo aliiba. Kwenye mafanikio mnataja awamu ya sita. Tuwaeleweje?
Nenda kwenye page zao ukishawachana wanakujibu kwahiyo..??🤣Hivi hawana account humu tuwachane
....mwosha huoshwa. Miradi mingi aliyokuwa anazindua ambayo ilianzishwa na mtangulizi wake alijipa sifa yeye peke yake hakutaka kabisa mwenzake atajwe au aisfiwe!
He really did a great job, tena ingefaa barabara ya kuingia huko ipewe jina lake na hiyo Ikulu ipewe jina la NyerereMtanzania yeyote mwenye kichwa kizuri kabisa hawezi kuzungumzia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma bila kumtaja JPM.
😅🤣😄wapo bize hapa saizi wanachezesha kamari, hahahahahahahahahahahaha. Yaani Serikali inacheza kamari na wananchi wake imagine.
Ni kweli hata Bwawa la Nyerere walifukie tuchimbe lingineYule alijenga ikulu kama apartment za chuoni, mama ilibidi aachane nalo na kujenga Ikulu ya kweli ambayo ndo hiyo. Hivyo hana legasi yoyote hapo.
Ifike mahali Mungu alirudishe jiwe duniani tu, watu wanateseka sanaLeo nimefuatilia katika matangazo yenu kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Kwa asilimia kubwa mnajitahidi sana kutomtaja JPM katika ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Sijajua kama ni maelekezo au ni matatizo yenu tu ya kutaka kujikomba kwa wenye mamlaka.
Mtanzania yeyote mwenye kichwa kizuri kabisa hawezi kuzungumzia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma bila kumtaja JPM.
Ukiachana na Mwl. Nyerere, JPM ni Rais pekee aliyeshupalia ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Ndo maana Watanzania wengi si wapenzi wa kusikiliza TBC, kwa sababu kama hizo.
Badilikeni, hizi ni nyakati nyingine.
Hilo hata mtoto mdogo kabisa wa darasa la kwanza anajua.
Taahira wewe.Yule alijenga ikulu kama apartment za chuoni, mama ilibidi aachane nalo na kujenga Ikulu ya kweli ambayo ndo hiyo. Hivyo hana legasi yoyote hapo.
Aisee! Nilikuwa zangu nachezea remote baada ya kumaliza kuangalia BBC SWAHILI startv. Mara nikatokea TBC.Leo nimefuatilia katika matangazo yenu kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Kwa asilimia kubwa mnajitahidi sana kutomtaja JPM katika ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Sijajua kama ni maelekezo au ni matatizo yenu tu ya kutaka kujikomba kwa wenye mamlaka.
Mtanzania yeyote mwenye kichwa kizuri kabisa hawezi kuzungumzia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma bila kumtaja JPM.
Ukiachana na Mwl. Nyerere, JPM ni Rais pekee aliyeshupalia ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Ndo maana Watanzania wengi si wapenzi wa kusikiliza TBC, kwa sababu kama hizo.
Badilikeni, hizi ni nyakati nyingine.
Hilo hata mtoto mdogo kabisa wa darasa la kwanza anajua.
Kwa hiyo ikulu imejengwa awamu mbili? Sijakuelewa hapo.Yule alijenga ikulu kama apartment za chuoni, mama ilibidi aachane nalo na kujenga Ikulu ya kweli ambayo ndo hiyo. Hivyo hana legasi yoyote hapo.
Acha uongo, kuna miradi alikataa hata kuipa jina lake na kuamuru ipewe majina ya watangulizi wake.....mwosha huoshwa. Miradi mingi aliyokuwa anazindua ambayo ilianzishwa na mtangulizi wake alijipa sifa yeye peke yake hakutaka kabisa mwenzake atajwe au aisfiwe!
Usivimbe mkuu bwawa aliliacha 32 na kujitapa kuwa yeye akiondoka madarakani miradi haitaendelezwa. Mungu alivyo fundi, kaamua kamletea mwanamama tu na anaendeleza fresh kabisa.Ni kweli hata Bwawa la Nyerere walifukie tuchimbe lingine
Huyo kikwete wako alikuwa na kitu gani kizuri, zaidi ya ufisadi, uzembe, kuchekeana na lousy presidency?Mbona kipind cha magu tbc haikuwah kumtaja kikwete hata kwenye mambo mazuri na hukulalamika... Usikariri mkuu, kila zama na kitabu chake. USILAZIMISHE HUYO MAGUFULI KUNA WENGINE WALISHAMFUTA KICHWAN
Walibomoa wakajenga upya?Yule alijenga ikulu kama apartment za chuoni, mama ilibidi aachane nalo na kujenga Ikulu ya kweli ambayo ndo hiyo. Hivyo hana legasi yoyote hapo.