cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,317
- 1,666
Kuandika gharama zimeongezeka maana yake siyo gharama za awaliTofautisha kusaini mkataba na pesa kutoka/mradi kutekelezwa. Hao kina JPM walisaini clause iliyolazimisha kampuni inayopewa tender iwe ipi na ndio gharama zimeongezeka mnoo, so kina Samia anatekeleza tu mkataba uliosaniwa kifisadi na awamu ya 5.