carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 267
Mbona jeshi la wananchi limekana kwamba hawakumuuzia Jerry pingu? na kwamba wao hwauzi pingu kwa raia. So Jerry kafoji risiti? au kama kweli alinunua hapo kwa nini jeshi linakana? think hard people!Wakuu ni vigumu na kamwe haitakuja kuellezwa kazi ya Ndugu yetu Muro zaidi Ya uandishi wa Habari.Hata wewe mwanajamii unaweza kuwa usalama wa Taifa baba yako na mama yako wa kukuza wasiweze kujua chochote.Sema alichokifanya kova alikosea kumhukumu mtu bila kujua kazi yake na kama alikuwa anajuwa kuwa si rahisi raia yeyote kumiliki pingu basi alitakiwa kujiridhisha kabla ya kuwasiliana na waandishi wa habari.Haya Muro kawasilisha receipt halali huoni kwamba amejiharibia kutoa matamshi ambayo hajayafanyia uchunguzi na kuyatoa kwa waandishi wa habari?Je anafaa kuwa kiongozi?
Kiongozi wa ngazi ile anatakiwa kuwa Confidentiality na awe Trustworth sasa yeye haoni kuwa anaanza kupublisize vitu ambavyo havikutakiwa kutolewa njee ya pazia??
Na kama ikilazimika kumuanika Muro basi itabidi wamvua hiyo hidden nyazifa ili awe raia ambaye haruhusiwi kumili pingu.
NOTE:Kuna mtu anayejua tabaka za kazi za usalama wa raia?Katika tabaka hizo ni nani anatakiwa kumili nini na mwingine hatakiwi?mfano waandishi wa habari wanaoambatana na Rais, waziri mkuu kwenye ziara mbalimbali ni usalama wa taifa au ni waandishi wa TSJ?
haya yote yamekuja kuvuja kipindi hiki enzi za mwalimu hata mwanao alikuwa anaweza kuwa anafanya kazi bila hata wewe ukiwa hujui.
Mwenye wasiwasi aniPM nimpe habari ili tuendelee na sredi zingine na kuiacha hii ya Muro ili vyombo husika viendelee kufanya kazi.