Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Hapa ndo nimeamini kua kua na pingu si kosa kisheria!! maana kama ingekua kosa wangeliunganisha hapa!! kwa hiyo ishu ya pingu hakuna hoja ya msingi!!JESHI la Polisi limemfikisha mahakamani mwandishi wa habari , Jerry Muro, ambaye ni maarufu kwa kufichua uozo, baada ya kumkamata kwa tuhuma za kudai rushwa kwa nguvu.
Muro, mfanyakazi wa Shirika la Utangazaji (TBC), anadaiwa kutaka fedha kwa njia ya vitisho kutoka kwa mhasibu aliyesimamishwa wa Halmashauri ya Bagamoyo, Michael Wage.