MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Jamani Mzinga wamedai kuwa pingu huwa haziuzwi kwa raia- sasa hii risiti ya Jerry ni Genuine? mbona wengi watatumbukia humu kwenye shimo la tewa?
Mwanjelwa Mzee Mwanakijiji si ameshalijibu tena mpaka na shairi?.
Maadam sio kosa kisheria kwa raia kumiliki pingu, them, hata akisema pingu zile ni za kujifunga yeye na mwandani, ili asimtoroke usiku.
Naamini Mwanjelwa unazielewa baadhi ya tactics za mapenzi ya 'Masochism' wahusika wakiitwa 'Masochistic', ili wafike, huombwa wafungwe pingu, wachapwe mijeled, wapigwe mangumi, ama waparuliwe mpaka wadoke midamu, ndipo starehe ifuate!.
Pingu sio issue!.
Mimi nadhani Jerry anatakiwa kulindwa hasa wakati huu. Kuna watu wengi sana ambao wana potential ta kuathiriwa na uchunguzi wa Muro na hasa kuhusiana na investment za GWAMI kule Moro. Nasikia....wengine mtanikosoa, bwana "GWAMI" amenunua mtaa wa Ghorofa moja, kakodisha floor nzima ya ofisi ya CCM vijana Moro kwa ajili ya hotel, amejenga Ghorofa Msamvu kwa muda mfupi. Napenda kujiuliza hivi mfanyakazi gani wa serikali anaweza kufanya yote hayo haraka na kwa ufanisi mkubwa. Ukithaminisha miradi yote hiyo utapata kichaa kwa mfanya kazi wa halmashauri maskini kama Bagamoyo. JM was about to spoil the air and it seems some of us will fight hard to prevent that from happening hata kama ni kwa gharama yoyote.
Mwanjelwa Mzee Mwanakijiji si ameshalijibu tena mpaka na shairi?.
Maadam sio kosa kisheria kwa raia kumiliki pingu, them, hata akisema pingu zile ni za kujifunga yeye na mwandani, ili asimtoroke usiku.
Naamini Mwanjelwa unazielewa baadhi ya tactics za mapenzi ya 'Masochism' wahusika wakiitwa 'Masochistic', ili wafike, huombwa wafungwe pingu, wachapwe mijeled, wapigwe mangumi, ama waparuliwe mpaka wadoke midamu, ndipo starehe ifuate!.
Pingu sio issue!.
HIvi Watanzania tuna matatizo gani jamani? Siyo kosa kukutwa na pinguu!!! Hakuna jaji mwenye akili timamu anayeweza kumkuta mtu na hatia ya kosa la kukutwa na pingu!
Huyu Kanali angetutajia basi kifungu cha sheria kinachosema ivyo.....Akizungumza na Mwananchi jijini Dar es Salaam jana, afisa habari na mawasiliano wa JWTZ, Luteni Kanali Mgawe Kapambala alisema wameshangazwa na suala la raia kuruhusiwa kununua pingu wakati hana matumizi nayo na kwamba tayari wamefanya vikao kujadili suala hilo.
"Sisi wenyewe tumeshangazaa baada ya kuona taarifa ile kwenye vyombo vya habari, lakini tunachojiuliza ni kwamba inakuwaje raia anauziwa pingu wakati hana matumizi nayo,†alisema Kanali Mgawe
Kwa mujibu wa uchunguzi ambao gazeti dada la The Citizen liliufanya jana kwenye duka la silaha la Mzinga, raia hawaruhusiwi kununua pingu isipokuwa vyombo vya dola tu tena kwa shughuli maalum tu.
Huyu Kanali angetutajia basi kifungu cha sheria kinachosema ivyo.....
hii ndiyo concern yangu- tuyajue hayo matumizi ya pingu kwa raia wa kawaida ndipo tujadili kwa kina. Ninayoyajua mimi niAkizungumza na Mwananchi jijini Dar es Salaam jana, afisa habari na mawasiliano wa JWTZ, Luteni Kanali Mgawe Kapambala alisema wameshangazwa na suala la raia kuruhusiwa kununua pingu wakati hana matumizi nayo na kwamba tayari wamefanya vikao kujadili suala hilo.
"Sisi wenyewe tumeshangazaa baada ya kuona taarifa ile kwenye vyombo vya habari, lakini tunachojiuliza ni kwamba inakuwaje raia anauziwa pingu wakati hana matumizi nayo,â alisema Kanali Mgawe
Kwa mujibu wa uchunguzi ambao gazeti dada la The Citizen liliufanya jana kwenye duka la silaha la Mzinga, raia hawaruhusiwi kununua pingu isipokuwa vyombo vya dola tu tena kwa shughuli maalum tu......
kiko kichwani mwake hatuwezi kukiona, labda hakimu/jaji aufungue ubongo wake? by the way nao jeshi kwani nini wanaziuza? maana kwa tafsiri ya Kova ni magereza na Polisi tu sasa JWTZ nao ni za nini Jeshi huwa wanashikilia wahalifu?? au za kuwafunga Mateka? kama ni hivyo kwanini ziwe bidhaa zinazoonyeshwa kwenye Duka Lao? wana mtangazia nani hiyo Biashara? Magereza Au Polisi? au Serikali yote kwa Jumla.Huyu Kanali angetutajia basi kifungu cha sheria kinachosema ivyo.....
Labda yale makampuni binafsi ya ulinzi -si huwa wanawalinzi wao- kwa kuwakamatia wahalifu sehemu wanazolinda.kiko kichwani mwake hatuwezi kukiona, labda hakimu/jaji aufungue ubongo wake? by the way nao jeshi kwani nini wanaziuza? maana hiyo kwa tafsiri ya Kova ni magereza na Polisi tu sasa JWTZ nao kwa ni za nini? au za kuwafunga Mateka? kama ni hivyo kwanini ziwe bidhaa zinazoonyeshwa kwenye Duka Lao? wana mtangazia nani hiyo Biashara? Magereza Au Polisi? au Serikali yote kwa Jumla.
Hata Jerry Nae katika clip zake zote alizoongea hajagusia swala la matumizi ya pingu yake sijui kwa nn!! naona anawaonyesha risit tu matumizi yaa pingu hasemi!!Kaka hii kesi itaibua mengi sana ndugu yangu -maana risiti ile ni ya serikali na ina muhuri wa Mzinga Morogoro. Yetu macho
Ningeshauri wote wanaoshabikia kesi hii waisome hii post. Just because hakuna sheria inayokataza mtu kumiliki pingu does it mean kuwa inaruhusiwa? We mwananchi wa kawaida pingu za kazi gani? Hata kama za mapenzi unatembea nazo kwenye gari za nini? Jerry hapa una kitu tujuze tukueleweUsitoe taarifa ambazo hujathibitisha. JWTZ leo wamekanusha kwamba pingu haiuzwi kwa raia. Soma mwananchi. JM yupo katika tanuru la moto. Kama JWTZ wamemkataa sijui nini kinafuata baada ya hapo. Ipo kazi wakubwa. msijifariji, hakuna pingu inauzwa kwa raia. By the way, wewe pingu unanunua kwenda kufanyia nini? Kama siyo kwenda kujifanya polisi na kuwatapeli watu ni nini??? Sina imani na Jerry Muro katika hili.
Hivi alikuwa na pingu kwenye gari lake siku hiyo tu na siyo anakuwa nazo mara zote kwenye gari ?Mwanakijiji hakuna aliyesema ni kosa tumeelewa kuwa si kosa. Lakini mtu yeyote akiwa na kitu chake atakwambia kuwa anacho kwa sababu flani, silaha mtu anamiliki kwa kuwa anajilinda kwa usalama wake na pingu ni kwa ajili ya kufanyia nini? Sawa umesema kuna matumizi mengine ambayo pingu zinatumika huwenda sababu za Jerry zinaangukia ndani ya kundi hilo la sababu nyinginezo but why zilikuwa garini siku ile ya tukio? Sisemi kuwa Jerry ana makosa la hasha but najaribu kuwaza zaidi why atembee nazo siku hiyo? au huwa zinakaa ndani ya gari lake daima? Yeye mwenyewe anasemaje?
Mi bado haijaniingia akilini huwenda ni kwa sababu ya upeo wangu mfupi wa haya mambo lakini ninaamini kama ambavyo mmenijuza mengi hata hili mtanisaidia tu.