TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Hii ni exit strategy ya jeshi la polisi. Hii issue ilikaa vibaya kwao, na kitendo cha kutomfikisha Jerry mahakamani kingezidi kuleta minong'ono ilisiyoisha. Kwa kufanya hivi wana maana kuwa vyombo vya habari vyote viache kuandika suala hili kwani ni kuingilia uhuru wa mahakama. Na huo ndiyo mwisho wa stori Kesi hii itamuuliwa 2014.
 
Haya kunahabari hii sinema imehamia mahakamani mchana huu ...jamaa wanapelekwa kisutu

source;michuzi
 
Mheshimiwa Hakimu: Ndugu Mawenge ukiwa kama shahidi wa kesi hii je unasema kuwa mshitakiwa alikulazimisha umpatie kiasi cha pesa
Mawenge: Ndiyo Mheshimiwa
Hakimu: Je mshitakiwa alitaka kiasi gani? na alijitambulisha kama nani?
Mawenge: Milioni 10 na alisema yeye ni afisa wa Takukuru
Hakimu: je rushwa hiyo ilitakiwa kwa ajili ya nini? Kwa sababu inafahamika kuwa mtu huwa anatoa rushwa pale anapohitaji kupewa huduma flani, je wewe ni huduma gani uliyoitaka kutoka kwa mshtakiwa hadi akuombe rushwa?
Mawenge: Alisema ili asinitoe kwenye vyombo vya habari kama fisadi
Hakimu: Je wewe ni fisadi?
Mawenge: Hapana mimi si fisadi, mwulize hata mke wangu mimi si fisadi kabisa bwana hakimu
Hakimu: Sasa kama wewe si fisadi kwa nini ulikubali kutoa rushwa? kwa nini usimpuuze tu kwa sababu hata akikutoa kwenye vyombo vya habari wewe si fisadi.
Mawenge: Ndio maana mheshimiwa hakimu nikaenda kumripoti polisi
Hakimu: Wewe ulikuwa mtumishi wa uma, je masuala ya rushwa huwa yanaripotiwa polisi au TAKUKURU? na je uliporipoti polisi, walikupatia pesa za moto ambazo ulitakiwa kumpa mshitakiwa?
Mawenge: Ah bwana Hakimu, unajua, kule kwetu Bagamoyo huwa hatujui tofauti kati ya polisi na TAKUKURU tunachojua wote ni polisi tu!! ...................

Ah kumbe naota mchana.!!
 
Jamaa hawafai. Yaani wamesubiri Ijumaa, ili alale angalau siku 3 ndipo dhamana yake ianze kuzungumzwa.
 
Mheshimiwa Hakimu: Ngudu Mawenge ukiwa kama shahidi wa kesi hii je unasema kuwa mshitakiwa alikulazimisha umpatie kiasi cha pesa

You kidding, nilidhani kweli unajua. you made me laugh aisee
 
Good analyis.Kumbe Mwanajamiione ni Hakimu au mwalimu wa mediations?
 
You kidding, nilidhani kweli unajua. you made me laugh aisee
Dada kwa jinsi mashtaka yalivyokuwa yanatengenezewa hoja, mara rushwa, mara bastola mara pingu ni wazi huko mahakamani itakuwa ni kituko tu. We subiria uone
 
Mheshimiwa Hakimu: Ngudu Mawenge ukiwa kama shahidi wa kesi hii je unasema kuwa mshitakiwa alikulazimisha umpatie kiasi cha pesa
Mawenge: Ndiyo Mheshimiwa
Hakimu: Je mshitakiwa alitaka kiasi gani? na alijitambulisha kama nani?
Mawenge: Milioni 10 na alisema yeye ni afisa wa Takukuru
Hakimu: je rushwa hiyo ilitakiwa kwa ajili ya nini? Kwa sababu inafahamika kuwa mtu huwa anatoa rushwa pale anapohitaji kupewa huduma flani, je wewe ni huduma gani uliyoitaka kutoka kwa mshtakiwa hadi akuombe rushwa?
Mawenge: Alisema ili asinitoe kwenye vyombo vya habari kama fisadi
Hakimu: Je wewe ni fisadi?
Mawenge: Hapana mimi si fisadi, mwulize hata mke wangu mimi si fisadi kabisa bwana hakimu
Hakimu: Sasa kama wewe si fisadi kwa nini ulikubali kutoa rushwa? kwa nini usimpuuze tu kwa sababu hata akikutoa kwenye vyombo vya habari wewe si fisadi.
Mawenge: Ndio maana mheshimiwa hakimu nikaenda kumripoti polisi
Hakimu: Wewe ulikuwa mtumishi wa uma, je masuala ya rushwa huwa yanaripotiwa polisi au TAKUKURU? na je uliporipoti polisi, walikupatia pesa za moto ambazo ulitakiwa kumpa mshitakiwa?
Mawenge: Ah bwana Hakimu, unajua, kule kwetu Bagamoyo huwa hatujui tofauti kati ya polisi na TAKUKURU tunachojua wote ni polisi tu!! ...................

Ah kumbe naota mchana.!!

lol, wewe!!! Ila hayo maswali ni ya msingi sana hakimu lazima ayaulize na ndipo Kova na wenzie watakavyozidi kupata aibu. Let's wait.
 
Jamaa hawafai. Yaani wamesubiri Ijumaa, ili alale angalau siku 3 ndipo dhamana yake ianze kuzungumzwa.

Hata wakimlaza mwaka mmoja. ukweli ni lazima utajulikana tu. Wangapi wamelala mahabusu na wakaonekana hawana hatia?.
 
Hapa ndo nimeamini kua kua na pingu si kosa kisheria!! maana kama ingekua kosa wangeliunganisha hapa!! kwa hiyo ishu ya pingu hakuna hoja ya msingi!!
...Na wewe utatafuta pingu zako mkuu nini??
 
Mheshimiwa Hakimu: Ngudu Mawenge ukiwa kama shahidi wa kesi hii je unasema kuwa mshitakiwa alikulazimisha umpatie kiasi cha pesa
Mawenge: Ndiyo Mheshimiwa
Hakimu: Je mshitakiwa alitaka kiasi gani? na alijitambulisha kama nani?
Mawenge: Milioni 10 na alisema yeye ni afisa wa Takukuru
Hakimu: je rushwa hiyo ilitakiwa kwa ajili ya nini? Kwa sababu inafahamika kuwa mtu huwa anatoa rushwa pale anapohitaji kupewa huduma flani, je wewe ni huduma gani uliyoitaka kutoka kwa mshtakiwa hadi akuombe rushwa?
Mawenge: Alisema ili asinitoe kwenye vyombo vya habari kama fisadi
Hakimu: Je wewe ni fisadi?
Mawenge: Hapana mimi si fisadi, mwulize hata mke wangu mimi si fisadi kabisa bwana hakimu
Hakimu: Sasa kama wewe si fisadi kwa nini ulikubali kutoa rushwa? kwa nini usimpuuze tu kwa sababu hata akikutoa kwenye vyombo vya habari wewe si fisadi.
Mawenge: Ndio maana mheshimiwa hakimu nikaenda kumripoti polisi
Hakimu: Wewe ulikuwa mtumishi wa uma, je masuala ya rushwa huwa yanaripotiwa polisi au TAKUKURU? na je uliporipoti polisi, walikupatia pesa za moto ambazo ulitakiwa kumpa mshitakiwa?
Mawenge: Ah bwana Hakimu, unajua, kule kwetu Bagamoyo huwa hatujui tofauti kati ya polisi na TAKUKURU tunachojua wote ni polisi tu!! ...................

Ah kumbe naota mchana.!!

kama maelezo ndio haya yanayaboa thana hata mahakami nitashindwa kwenda kusikiliza
 
lol, wewe!!! Ila hayo maswali ni ya msingi sana hakimu lazima ayaulize na ndipo Kova na wenzie watakavyozidi kupata aibu. Let's wait.
===

Well, nina reservation moja tu.
Safari hii, polisi wanamshtaki adui yao ambaye hawawezi kumwomba rushwa. Kuna kila sababu kuwa wanaweza kuwa makini sana kwenye charging process kiasi cha kutushangaza. Muro anahitaji kuwa na mawakili makini.
 
Kitu kikubwa cha kushangaza ni kwa nini Muro apewe special treatment ya kiasi hiki – kwani swali kubwa ni jee hawezi akawa naye ni tapeli tu kwa kutumia mwanya wa yeye kuonekana “mpiganaji mahiri” wa rushwa?

Wangapi tunao ktk serikali wanaotaka kujitambulisha kuwa ni wapinga ufisadi kumbe ni hypocrites tu – nao wamo? Ndugu zangu, haya yanawezekana sana tu.

Lakini tuangalie kwanza masuala ya msingi. Jee TBC ambako Muro aliko hivi sasa – yaani chombo cha serikali – ina dhamira ya dhati ya kuendesha kwa dhati vita dhidi ya rushwa – rushwa ya wakubwa? Ni kama vile uniambie kuwa Daily News inaweza ikawa mstari wa mbele katika vita ya kupinga ufisadi hasa ufisadi wa wakubwa.

Muro alikuwa ITV na alihama kwenda TBC kwa ushawishi wa wakubwa –akina manji, tanil Somaya na mafisadi papa wengine kwa misingi ya uhamisho wa wale wasanii wa Ze Comedi. Lengo ni kupunguza makali waliyokuwa nayo wakiwa ktk vyombo binafsi, hasa vya IPP ambavyo msimamo wao kuhusu ufisadi wa wakubwa unajulikana.

Ze komedi sasa hivi wamekwisha, wanaigiza rushwa za manesi na matrafiki -- siyo za wakati ule za akina Karamagi wanasaini mkataba wa Buzwagi ktk chumba cha hoteli moja ya London. Siku hizi hawawezi tena kuigiza vitu vya namna hiyo, wamekatwa makali na akina manji aliyewanunua na kuwapeleka TBC. Siku hizi wamebakia kuvaa sidiria na kuandama makarani etc.

Muro naye ni vivyo hivyo, alipelekwa TBC na hao hao mafisadi papa ili asiwe anawagusa, na badala yake awe anawaandama matrafiki na manesi tu.

Kwa hiyo ile dhana ya kusema Muro alikuwa anapambana na mafisadi papa ni dhihaka kubwa.

Na suala la kwa nini polisi, na siyo PCCB, wanalishughulikia suala hili linatokana na matashi ya mlalamikaji, Wage, na bila shaka alikuwa ana sababu zake za kutokwenda kulalamika kwa akina Hosea. Tunajua jinsi Hosea anavyoshughulikia rushwa hasa za wakubwa. Anawalinda sana – ni taasisi ya hovyo kabisa kuhusu grand corruption.

Suala la pingu ndilo linaweza kumponza Muro kama hatalitolea maelezo ya kuridhisha kwa nini alikutwa nazo. Kwa kumtaka atoe risit, polisi wamefanikiwa kum-tie kwamba ni zake – a very important step. Muro angeweza kushikilia siyo zake – aliwekezewa tu na polisi.

Kuna wachangiaji humu ndani, na baadhi ya magazeti wanaona kuwa kwa vile ameonyesha risiti, basi hana kosa! Nashangaa hata MMKJJ katumbukia ktk ushabiki wa wazi wazi wa kumtetea Muro pamoja na kwamba kesi haijaenda mahakamani kwenye maamuzi ya sheria.

Kiuchunguzi wa polisi, Muro anatakiwa atoe maelezo ya pingu hizo, za kazi gani kwake – anatembea nazo ktk gari. Kujilinda? Bastola sawa – kwa ajili ya kujilinda. Lakini pingu? Hivi peke yake Muro anaeweza kumtia pingu mtu kiurahisi? Polisi wamefundishwa namna ya kumtia mtu pingu.

Halafu yeye ni mwanahabari tu, na maadili ya taaluma hiyo yanasisitiza mwandishi kuwa wazi katika kutafuta habari, asijifiche (asiji-conceal) identity yake na wala asitumie silaha ya aina yoyote. Hata hiyo bastola yake, asiitumie kukamua habari, ni ya kujilinda tu anapotishiwa maisha.

Jamani tujaribu kuwa objective. Na kama Muro ni shushushu kama wengine wanavyohisi, basi serikali inayo uwezo wa kusimamisha upelelezi na kuifutilia mbali kesi ili kumlinda. Hawa mashushushu nao hawaaminiki, nasikia walihusika pia ktk ufisadi wa EPA.
 
Mheshimiwa Hakimu: Ngudu Mawenge ukiwa kama shahidi wa kesi hii je unasema kuwa mshitakiwa alikulazimisha umpatie kiasi cha pesa
Mawenge: Ndiyo Mheshimiwa
Hakimu: Je mshitakiwa alitaka kiasi gani? na alijitambulisha kama nani?
Mawenge: Milioni 10 na alisema yeye ni afisa wa Takukuru
Hakimu: je rushwa hiyo ilitakiwa kwa ajili ya nini? Kwa sababu inafahamika kuwa mtu huwa anatoa rushwa pale anapohitaji kupewa huduma flani, je wewe ni huduma gani uliyoitaka kutoka kwa mshtakiwa hadi akuombe rushwa?
Mawenge: Alisema ili asinitoe kwenye vyombo vya habari kama fisadi
Hakimu: Je wewe ni fisadi?
Mawenge: Hapana mimi si fisadi, mwulize hata mke wangu mimi si fisadi kabisa bwana hakimu
Hakimu: Sasa kama wewe si fisadi kwa nini ulikubali kutoa rushwa? kwa nini usimpuuze tu kwa sababu hata akikutoa kwenye vyombo vya habari wewe si fisadi.
Mawenge: Ndio maana mheshimiwa hakimu nikaenda kumripoti polisi
Hakimu: Wewe ulikuwa mtumishi wa uma, je masuala ya rushwa huwa yanaripotiwa polisi au TAKUKURU? na je uliporipoti polisi, walikupatia pesa za moto ambazo ulitakiwa kumpa mshitakiwa?
Mawenge: Ah bwana Hakimu, unajua, kule kwetu Bagamoyo huwa hatujui tofauti kati ya polisi na TAKUKURU tunachojua wote ni polisi tu!! ...................

Ah kumbe naota mchana.!!

MJ1 hivi tunataniana siku hizi???? hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa LOL!! umenimaliza leo
 
haya MJ1 endelea hakimu anaendelea na kipengere cha kukutwa na pingu...
 
lol, wewe!!! Ila hayo maswali ni ya msingi sana hakimu lazima ayaulize na ndipo Kova na wenzie watakavyozidi kupata aibu. Let's wait.
Ndugu yangu we ni katika kujaribu kupata picha ya comedy itakayotolewa mahakamani hapo lol
Bado suala la pingu

Hakimu: Mnasema mumemkamata mshtakiwa kwa kosa la kudai rushwa?
Mashtaka: Ndio mheshimiwa hakimu
Hakimu: Tujuavyo mipango ya kukamata watuhumiwa wa rushwa hushughulikiwa na Takukuru imekuwaje ninyi mumkamate muhusika bila kuwa na maafisa wa Takukuru?
Washtaki: Sisi mshtaki alikuja kutoa taarifa kwetu
Hakimu: Je mlimshauri aende Takukuru ambako ndiko kunakohusika?
Mashtaka: Ah hapo mheshimiwa tulipitiwa kidogo ila hata hivyo mheshimiwa tulifanya vizuri kwenda kwani tulimkamata mshtakiwa akiwa na pingu garini
Hakimu: Je pingu hizo zinahusika vipi na mashtaka?
Mashtaka: Mpaka sasa hatujawezakuilink kisawa sawa bwana hakimu lakini mshtakiwa haruhusiwi kumiliki pingu
Hakimu: Sheria inasemaje juu ya hilo?
Mashtaka: Ah........... hebu ngoja kidogo Bwana hakimu tuconsult sheria zetu ila inaonekana kuwa hakuna sheria inayokataza ila tu huwa hatuuzii pingu kwa raia
Hakimu: Jibu swali bwana mashtaka, sheria inaruhusu au hairuhusu?

Jamani Jerry anawakiliwa na Bwana Kamala, na ametakiwa dhamana ya jumla milioni 5 yeye mwenyewe na wadhamini wa2 kwa the same amount- otherwise kesi imeahirishwa hadi February 12.
 
===

Well, nina reservation moja tu.
Safari hii, polisi wanamshtaki adui yao ambaye hawawezi kumwomba rushwa. Kuna kila sababu kuwa wanaweza kuwa makini sana kwenye charging process kiasi cha kutushangaza. Muro anahitaji kuwa na mawakili makini.

You are 100% right...

Nasubiri Charge Sheet.
 
Wajameni naombeni mnijuze kosa la 'kushawishi kupewa rushwa' lina tofauti gani na kudai rushwa? Jerry wameshtakiwa kwa kosa la kushawishi kupewa rushwa
 
Back
Top Bottom