TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Sitaki kuamini kuwa Muro alifuata rushwa ya milioni 10, nakataa, mimi niliangalia kipindi chake Usiku wa habari nakukatalia Wildcard eti alijichanganya HAPANAAAAAAAAAA nakataa, ofcourse Muro never expected all that from our police kwa hiyo bado yuko kwenye shock tena big time shock. Siamini kama ni mjingaaaaa kiasi hicho eti aende City Garden mwenyewe kufuata milioni 10, please give us a break. Hata kama ana njaa asingefanya hivyooooo siyo mjinga kiasi hicho. Of course anahitaji pesa, hakuna mtu asiyetaka pesa, Jerry Muro simjui ila naamini siyo TAJIRI kwa hiyo 10 m ni big money kwake na kwangu pia, ila bado nakataa aliifuata hiyo pesa.
Maggid, tafakari yako IMENIGUSA SANA!!! Kazi ipo....

Kova alipandaje cheo? na ilikuwa wakati gani na mkuu wa jeshi la Polisi alikuwa nani? Je trend ya Kova inatofautiana na Zombe? otherwise discipline zao = same! just period!
 
Yameanza kwa wapambanaji wa ufisadi... rushwa kubwa kubwa. Hosea, kwa amri ya dola kuu - Ikulu, akawavaa ili waonekane wachafu mbele ya jamii, hawastahili kuupayukia ufisadi. Yamefuatia ya Jeryy Muro .... rushwa ndogo ndogo za POLICE wa usalama barabarani. Sielewi ni kwa amri ya Mwema ama ni Kova mwenyewe ndiye kaamuru Muro achafuke ili afanane nao katika jamii na asiendelee kupayuka.

Hali hii inaashiria nini?????? Mfumo wote wa dola umechafuka, unatakiwa kung'olewa haraka kwani haurekebishiki.

Haingii akilini amri itoke juu ikielekeza uchunguzi wa wapayukaji wa rushwa. Badala ya kuwashughulikia kwanza walioonekana na kutuhumiwa, dola inatumia muda mwingi kufuatilia vitu visivyo na tija (Posho ya laki 5 badala ya Richmond ya 60 bln).

Wage, (Mhasibu aliyefukuzwa kazi) aliyedai kuombwa rushwa kinguvu na vitisho toka kwa Muro (toka lini rushwa ikaombwa kwa vitisho vya Bastola na pingu, huu tuuite unyang'anyi wa kutumia silaha basi, hahahaaaa jambo TZ) amedai ana majumba mengi ikiwemo ya ghorofa na pesa nyingi benki, tena mbele ya kova hajachukuliwa hatua zozote badala yake anashirikiana na POLICE katika harakati za kumnyamazisha Muro. Je hapa tunapata picha gani? POLICE wanashirikiana na waharifu kama ilivyowahi kudaiwa na baba wa Jambazi lilouawa Manzese? Nina wasiwasi yasije yakamkuta ya Muro, Mwakyembe, Mpendazoe, Shelukindo et al>
 
Yeah..Kuna Mtu anaweza kuniambia Muro ni Kabila gani?Nimepata singles za Muro na Singles za Kamanda Kova
 
Yeah..Kuna Mtu anaweza kuniambia Muro ni Kabila gani?Nimepata singles za Muro na Singles za Kamanda Kova
 
Hapa naona Polisi hawana ushahidi hata kwa hao matapeli zaidi naona ni Blackmailing, kwanza kwa kumbukumbu yangu wanasema walikuwa wakimtafuta kwa Siku tatu, hiyo inaonyesha ni kitu cha kupanga, pilli wameshindwa kuwashika wote kwa tukio hilo la kupokea Rushwa hivyo kuna alama ya kujiuliza kuhusu kuwepo kwa njama hizo, Sasa ukija Suala la Mazungumzo au CCTV kwa mfano miim na X kuhusu tukio lolote Baya, haimaanishi mimi kushiriki, labda na mimi ni gather information ili niwapatie wa husika, na zaidi inaonyesha Polisi kwa sababu walikuwa nae Mtu wao Huyo Wage ndio wakamtumia kama Chambo ili kuwa leta watu hao pamoja kwa minajili ya kuwa rekodi sauti na hiyo CCTV na kuongezea huo ushaidi wao uwe strong walimfundisha Wage chakuonge ili ionekane Muro na Wenzake wametaka Rushwa.
Jambo jingine sasa kama Rushwa walikuwa wapoke Nuro na hao wengine wawili mbona hawakuwepo siku alioshikwa Muro.

Kova mbona unadhalilisha fani yako, au ndio tuseme ndivyo Polisi walivyo? Au CCP hawafundishi vizuri? nako mitihani inavujaa?
Jee leo hii niseme nataka nimshikishe Mtu X kwa Rushwa hivyo nimchukue nimpeleke Bar wakati huo niwe nimetoa taarifa Polisi kwamba X anataka Rushwa wakati ukweli ni mimi nataka nimkamatishe huyo Jamaa na Rushwa, si nitatengeneza hayo mazingira kama kuacha Koti kwenye gari lake Pili kumpeleka sehemu na kupigwa picha nae na kuzumgmzia aise Vipi nikupe ule Mzigo wako? upi ah hii ni zawadi tu 10m si unajua tena maisha bongo ni kusaidiana, na Jamaa zake Kova wana rekodi tukio mwisho wa siku fulani bin fulani umeshikwa kwa kupokea/kutomba rushwa na ushaidi wa ki-elctroniki tunao mwenyewe Kova anasema wana kitengo cha Cyber crime Geshi letu kweli lime kwenda Mbele
Sijaelewa vizuri hapa
 
Hivi kwa haya yanayondelea katika nchi yetu tufanyeje sasa? Maana sasa top story inayoendelea ni Jerry Muro.
 
hivi nyie vipi? Kuna cctv imemnasa Jerry wenu akiwa na jamaa hotelini na Jerry wenu alivyo mjinga kamkana jamaa . Tulieni Jerry ni mlla rushwa.

1. Mkuu hio cctv cover up inaonyeshaje? Jerry amekaa na jamaa meza moja? Mind you city garden is a restaurant mtu anakaa popote na ni utaratibu wetu watanzania ukimkuta mtu kwenye meza kuna hai za hapa na pale na kama all of you are talkatives aliyekaa pembeni yenu anaweza kudhani mnajuana tangia kitambo. Na with a person who is a journo how many pipo does he/she meet in a day mpaka awakumbuke wote? Pia Kumbuka usually CCTV is just about the motion pictures but no sound.

2. Ushahidi wa CCTV unakubalika kisheria Tanzania?
 
Ninachoijiuliza ni hiki, je Jerry Muro hiyo kesi ya kupokea rushwa ni ya kweli au ni planted (imepandikizwa). Ninachofikiri ni kwamba hiyo miwani na pingu zikafanyie uchunguzi au finger print ili kujua ukweli wa hilo sakata.
 
Hapa Tanzania vitu haviko recorded?? na hata hiyo simu huyo mtu anaweza akawa ametumia card then akaitupa utafanya nini.
Mimi naamini kabisaaaa huu ni mchezo mchafu dhidi ya Jerry Muro, huyu kijana hata kama hakwenda shule vizuri, hawezi kufanya hilo kosa la kijinga hivyo. Hawezi kuchukuwa rushwa ya 10,000,000/= then eti wagawane watu 3, yaani kila mtu apate 3 million, hahhaaaaa this is a joke of the year.
people please get really and serious. Jerry Muro anajuwa sanaaaa kwamba yeye mwenyewe anatafutwa vibaya sanaaaaaaaaaaaa na dunia ya Tanzania ya MAFISADI
Kwanza polisi na PCB wakitaka hii issue ya Jerry wanaimaliza kwa nusu saa tu, watakuwa wamejuwa ukweli woteeeee.
 
hii sio issue kabisa bandugu;
mtu afanye uharamia halafu awe traceable kifala hivyo?
mjanja ananunua handset ya tsh 35,000 na anakuwa na unregistered simcard, akishamaliza kuitumia anatupa vyote?
hapo vipi?[/QUOTE]
Hapo poa!
 
Pamoja na boronga yote hii Kova ataendelea kuwa kamanda wa kanda maalum? Namshukuru Muro amenyamaza maana naye alikuwa anajiharibia zaidi. Kova kama kawaida yake ana kaugonjwa ka kuonekana kwenye luninga.
 
Hii ni single nyingine ya JLP (jeshi la polisi).
1.Mnakumbuka ile ishu ya wale wa Morogoro waliouwa na silaha ikaonyeshwa kwa mbwembwe kwamba ni majambazi na baadaye ikajulikana si hivyo na hiyo ni baada ya Mbunge wa Mahenge kuingilia kati (alikuwa pia waziri wakati huo)
2.Mnakumbuka kuwa JLP hao hao walionyesha visu kuwa chama fulani cha upinzani walikuwa wameingiza kufanya vurugu -hapa hatujasikia hiyo kesi imepita wapi.
3.Pingu zinauzwa kwenye duka la silaha na hakuna sheria yoyote inayosema ukitaka pingu upate kibali (bali ukitaka silaha lazima upate kibali).
4. Polisi wana single nyingi sana ambazo huwa wanafanya tu ku-draw attention ya watu na kuwapumbaza Watanzania. Sasa kwa hili Kova naona anataka kuiona Dar chungu maana lazima watu wjue ukweli uko wapi. Nadhani akina Msika wanakaa kuangalia kwanza sakata hili litadondikea wapi nao waseme!!! Lakini hakika hapa kuna munuso wa ufisadi unaofichwa.
 
Yameanza kwa wapambanaji wa ufisadi... rushwa kubwa kubwa. Hosea, kwa amri ya dola kuu - Ikulu, akawavaa ili waonekane wachafu mbele ya jamii, hawastahili kuupayukia ufisadi. Yamefuatia ya Jeryy Muro .... rushwa ndogo ndogo za POLICE wa usalama barabarani. Sielewi ni kwa amri ya Mwema ama ni Kova mwenyewe ndiye kaamuru Muro achafuke ili afanane nao katika jamii na asiendelee kupayuka.

Hali hii inaashiria nini?????? Mfumo wote wa dola umechafuka, unatakiwa kung'olewa haraka kwani haurekebishiki.

Haingii akilini amri itoke juu ikielekeza uchunguzi wa wapayukaji wa rushwa. Badala ya kuwashughulikia kwanza walioonekana na kutuhumiwa, dola inatumia muda mwingi kufuatilia vitu visivyo na tija (Posho ya laki 5 badala ya Richmond ya 60 bln).

Wage, (Mhasibu aliyefukuzwa kazi) aliyedai kuombwa rushwa kinguvu na vitisho toka kwa Muro (toka lini rushwa ikaombwa kwa vitisho vya Bastola na pingu, huu tuuite unyang'anyi wa kutumia silaha basi, hahahaaaa jambo TZ) amedai ana majumba mengi ikiwemo ya ghorofa na pesa nyingi benki, tena mbele ya kova hajachukuliwa hatua zozote badala yake anashirikiana na POLICE katika harakati za kumnyamazisha Muro. Je hapa tunapata picha gani? POLICE wanashirikiana na waharifu kama ilivyowahi kudaiwa na baba wa Jambazi lilouawa Manzese? Nina wasiwasi yasije yakamkuta ya Muro, Mwakyembe, Mpendazoe, Shelukindo et al>

You're very right my fellow citizen...
 
...
1.Mnakumbuka ile ishu ya wale wa Morogoro waliouwa na silaha ikaonyeshwa kwa mbwembwe kwamba ni majambazi na baadaye ikajulikana si hivyo na hiyo ni baada ya Mbunge wa Mahenge kuingilia kati (alikuwa pia waziri wakati huo)
2.Mnakumbuka kuwa JLP hao hao walionyesha visu kuwa chama fulani cha upinzani walikuwa wameingiza kufanya vurugu -hapa hatujasikia hiyo kesi imepita wapi.
3.Pingu zinauzwa kwenye duka la silaha na hakuna sheria yoyote inayosema ukitaka pingu upate kibali (bali ukitaka silaha lazima upate kibali).
....

Haya ni mawazo yako yamefanana sana ya Powerbreakfast- kuperuzi na kudadisi.
 
Back
Top Bottom