TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka. Jerry atemewa mate na mzungu aliyemtemea mate trafiki, Jerry arekodi tukio la rushwa mkoani Iringa. Kila kitu hapa jamaa alichokuwa anakifanya sisi tulibaki kama washabiki na watazamaji na ngoma inaendelea hivyo hivyo hakuna ambaye anaweza ku-risk na kumrescue huyu kijana. Polisi sio watu wazuri na hakuna aliye mkamilifu sasa tukianza hizi sera za mwaga mboga mimi ugali hatutafika na ni kikwazo kikubwa cha maendeleo nchi hii. Mimi nasema Jerry kaza buti na kama noma na iwe noma.
 
eeeh jamani vichwa vya habari vya magazeti navyo utata mtupu ............
hamko makini sana ..huyu anaandika vyake ,huyu analeta kivyake inaborongwa tu
 
Hivi mmeuliza wale jamaa wawili walikamatwa kwa kosa gani na kuoneshwa mbele ya hadhara? Kama Muro kosa lake lilikuwa kukutwa na pingu, na wale wengine kosa lao lilikuwa ni nini? Isije kuwa kukaa mezani na mtuhumiwa likawa nikosa. Maana kama ni hivyo kuna wengi wanahitaji kutiwa pingu kwa kunywa chai na mafisadi na waporaji wa urithi wa watoto wetu.

inashangaza wale jamaa wawili hata kirahisi unaweza kugundua wanajikaza kuvumilia macho ya public ni watu wamepandikizwa, na kovas wanataka jamii ijue ni kweli Jeryy ana makosa, kwani kukaa na matapeli does it mean wewe ni tapeli? how kama wametumwa wakae nae na cctv ikarekodiwa? kama ni matapeli sugu wamejuaje leo tu after this case?wametapeli nini?pia kesi kubwa za rushwa kova why huwa hafanyi press conf kujulisha? who is jerry by then kama sio kumfix na kumtishia asiendele na kazi yake?
 
http://www.youtube.com/watch?v=hC_GL3Ei_Ww&feature=player_embedded

http://www.youtube.com/watch?v=2rJMWr5wa-Q&feature=player_embedded

Watuhumiwa wa utapeli wenzake na Jerry ni hawa hapa...

http://www.youtube.com/watch?v=oKyIBg0k8As&feature=player_embedded

Nilishawaambia hii issue ni kisu kwa Muro. Nikasisitiza, kwa wale wanaoangaliaga CNN on regular basis hapa Ulaya au kokote Duniani, kuna mtu aliyetegemea Jeff Koinage ateketeee kijinga namna ile?!.

Kuna mengi ya kuona. Tusubiri. Lakini kigogo amekalia Muro kwa nyuma!

Jeff Koinange is a Kenyan journalist and chief reporter at TV Station K24 and previously serving as the Africa correspondent for CNN and CNN International from 2001 to 2007.

Included among the more significant stories Koinange has covered for CNN in Africa were the crisis in Darfur, the civil wars in Liberia and Sierra Leone and the famine in Niger, for which Koinange won an Emmy award.

Most recently, in early 2007, Koinange was reprimanded by the government of Nigeria for his coverage of the Movement for the Emanicipation of the Niger Delta (MEND). In his report, Koinange accompanied masked MEND guerillas to a camp where they were holding a number of Filipino hostages. The Nigerian government said that the report was "staged", a charge CNN denies.

Koinange has also covered news outside of Africa, including extensive reporting on the aftermath of the Hurricane Katrina crisis as well as the Iraq War.[3]

On May 29, 2007, CNN announced that Koinange was no longer employed by the network. He had apparently been caught up with some sex scandal that CNN did not want to become associated with.

How is our Jerry linked with this leech?😕
 
Matapeli sugu....hawa wanatangulia mahakamani. Muro.....huyu tunapeleka faili lake kwa wakili wa serikali aamue😕.
 
Jamani ,katika sheria ya Tanzania kunaruhusiwa ushahidi wa video mahakamani ?
nilifuatilia majadiliano fulani ya wanasheria na nilielimishwa kwamba ushahidi wa video haukubaliki mahakamani kwa maana ni rahisi kuupindisha kwa maana digitaly store information can be manipulated arround

Unakubalika ndugu TanzActive. Ni kulingana na Kifungu cha 40 A cha Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2007, No. 15 of 2007 ambacho kinahusu Evidence Obtained Undercover Operations!
 
Hivi huyu kweli huwa anaangalia press conference za polisi wa majuu na kulearn kitu????wenzetu huwa hawahukumu kwenye hizi conference sana sana wanabrief tuu.Sasa mpaka watuhumiwa nao wanaletwa kwenye press conference...aaaahaaa nimekata tamaa na nchi yangu.

Hii ni kiini macho. Inavyoonekana Kova amekula dili na hawa watu watimize mission fulani against Jerry kwa kumtumia huyo ex-mhasibu wa bagamoyo. Baada ya mtego kushindikana kutokana sasa watakua wamekubaliana awatose kiaina na tuhuma za utapeli lakini ajenge mazingira ya kushindwa kesi.

Nasema hivyo kwa sababu naamini Kova sio mjinga kiasi cha kuwaleta watuhumiwa anaotarajia kuwafikisha mahakamani kwenye press conference na kuwahukumu kuwa ni matapeli wakubwa ilihali akijua kabisa kwa kufanya hivyo ameipa mahaka kibali cha kuwaachia kwa kutotendewa haki na polisi. Pili anajua kabisa kuwa watuhumiwa wanaweza kumshitaki yeye na jeshi la polisi kwa kuwadhalilisha. Mbona hakumleta Jerry kwenye hiyo press confrerence????

Angalia jinsi anavyojiuma uma na anavyotumia lugha kali dhidi yao as if tayari wamedhihirika kuwa ni wahalifu. Kama walijua ni matapeli mbona hawakuwakamata siku zote na leo walipowahitaji tu wakawachukua hapo kinondoni??

Inonekana hawa ni washirika wa polisi kwenye michezo yao michafu na hapa wanafanya usanii tu. Kalakabaho.
 
PCCB na Polisi wanafanya kazi zinazofanana? je nini majukumu ya polisi katika suala la rushwa na ipi mipaka ya kimajukumu katika hili kati ya polisi na PCCB?

Polisi pia wanaruhusiwa kukamata mtu aliyetenda kosa la rushwa! Kwa ujumla Polisi wana-deal na makosa YOTE ya Jinai, including corruption!
 
Unakubalika ndugu TanzActive. Ni kulingana na Kifungu cha 40 A cha Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2007, No. 15 of 2007 ambacho kinahusu Evidence Obtained Undercover Operations!

Ni kweli ushahidi wa 'video' unakubalika katika mwenendo wa kesi za jinai chini ya kifungu cha 40A cha sheria ya ushahidi (Evidence Act). Hiyo WL(MA) Act 2007 haina kifungu cha 40A (ina vifungu 39 tu).
 
something to keep tanzanians busy, as usual the whole country is talking about this, kila utakae kutanana nae baada ya salamu is this case, baada ya muda we all forget and wait for another new topic to discuss.......
 
Maimuna you are right. Tunalipuka kama ugonjwa wa kipindupindu na kusahau yote kisha tunasahau na hilo na kuanza tena. Kwa style hii,mwisho hatukumbuki chochote.
 
nawashauri jeshi la polisi kuwa makini katika hizi press conference jana nnilimsikia kova akisema hawa ni matapeli(inamaana ameshatoa hukumu hivyo hamna haja ya kwenda mahakamani)
kwanini wanakuwa na kigugumizi kutaja hizo hoteli ambazo camera zilipatikana?ili hali wanaweza kutaja watuhumiwa kwa ujasiri na ukali?
 
Back
Top Bottom