TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

ukitaka kujua Police hawatimizi wajibu wao ni pale nilipposafiri kwa gari la ofisi lenye namba za kibalozi toka Dar es salaam mpaka Kigoma, kweli hakuna polisi alienisimamisha wala nini, unafika mahala polisi anakupungia usimame ukipunguza mwendo akisoma namba za kijani anakuashiria uondoke, mimi nauliza wavunja sheria ni watu wenye magari binafsi tu ama ?
mimi naamini Rushwa iliostukiwa na Muro ndio chanzo cha yote yanayompata.

Hahahaha umenikumbusha mbali sana! Nilikuwa likizo nikaamua kufurahia nchi yangu kuendesha toka Dar hadi Mwanza, mpaka kufika Morogoro nilikuwa nimesimamishwa kama mara 6 hivi na traffic, kama kawaida yao hawana issue, ninawaachia 5000 naendelea! Baadaye nikamuua kutosimama jamaa wakipiga mkono nawaashia spot light! Nilitegemea labda wakati wakurudi nitaipata walaaaa dawa yao wakikusimamamisha na hakuna kizuizi wewe pita tu....Polisi wetu walio wengi ni vituko....school dropouts !
 
Ntakuitia TAKUKURU na wewe (au ikishindikana Kova hata yeye anahusu)
 
siujui nisemeje,
lakini kila kitu kinawezekana chini ya jua.
jerry Muro huenda alikutwa na pingu na bastola,
lakini je ni yeye aliyeziweka?
Polisi wana mbinu nyingi sana za kijasusi, huenda walivitupia humo kwenye gari ya muro bila ya yeye kujua, ili kumkomoa kutokana na mwandishi huyo kuwaumbua.

mkuu kakubali ni vyake na anavimiliki miaka minne sasa!!!!!>
 
Tusubiri ukweli utajulikana, kwani wewe huwezi kuwekewa maiti kwenye buti ya gari lako, kisu na damu then wakapiga simu police ukakamatwa ?hakuna kitu kinachoshindikana bongo hii - sasa we subiri kesi iende mahakamani ndo utajua ukweli wote, usiongee kama mtu wa kijiweni hapa JF.

mbona hamuelewi?hajambambikiziwa tuache ushabiki na kufagilia hata kama mtu anaonekana ana makosa,hata hivyotusubiri mahakama,na kova anatoa ufafanuzi zaidi leo mchana tusubiri haya malumbano na ndio utapima nani anaongea ukweli,ila nashauri mtu yeyote anapokosea tumrekebishe hapahapa jamvini tusiwe na ushabiki tu eti kisa mtu ni ripota mashuhuri,huwezi jua upande wa pili wa shilingi.
 
Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro, alipandishwa kizimbani na wenzake wawili ambao ni Deogratius Mgassa (35) na Edmund Kapama (52) ambapo wamesomewa mashitaka matatu yafuatayo:

Kukusudia kuomba rushwa, kula njama za kutenda kosa na kujifanya maafisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kosa linalowahusu Kapama na Mgassa.

Jerry Muro na Edmund Kapama
walitimiza masharti ya dhamana na kuachiwa!!

******************************
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=vGXHtJ-RGp4&feature=player_embedded[/ame]
 
I suspect Mr Muro to have been framed after trying to dig further who are the heavy weights behind 900 mio. that Mr Wage misused as an accountant of the Bagamoyo Municipal. And why should the issue turned out to be this way?

As it seems if a smart person investigate, I don't think Mr Wage swindled all that money by himself, that takes me to think probably there are heavy weights i.e. politicians behind the publicity on shod deals the Bagamoyo Municipal has been getting after many resources been directed towards that particular place politically. When i connect the dots the picture cum scenario i get reminds me of the monies mis-used for road cosntructions and other infrastructure that was not allocated to TANROADS! where is the Parliament to vigorously query the actions taken so far?

Therefore as a cover up (as we all know who are the heavy weights in Bagamoyo), Mr Muro had to be silenced at a cost that won't rise eyebrows towards General Election in October and using Mr Wage who as the things look he is a useful informant on who actually swindled the 900 mio.

Mr Wage could not at any time spend all that amount of money, guys open up your eyes he is simply a skape goat and the deal has soured so he is left alone and as his salvation, he had to comply with the who and who in the system to sell out Mr Muro! as it looks the deal will backfire, lets stay tuned and wait and see! That's the Tanzania we live in! That's my opinion any suggestion guys!

mimi naona kuna issue hapo ktkt ilikuwa inakaribia kulipuka sasa wakulu na mkuu wao wanajaribu kumzimisha kijana wetu asifanya kazi yake! lisemwalo lipo...
 
Ndo manake si unajua serikali ipo Bwagamoyo sasa? wakina Mkulo, Kawambwa, Mwema na Mkulu mwenyewe! Yetu macho!
 
Back
Top Bottom