TBC imemuita nani hamnazo?

Jamani tugange yajayo ,he was our leader despite his mess ila ameshalala ,tugange yajayo kwa kujifunza mazuri na mabaya yake but haina maana tena kukashifiana
 
NANI ANAEPASWA KUSHTAKIWA KATI YA WANAOTUMIA NENO MWENDAZAKE, NA TBC WALIOTUMIA NENO HAMNAZO?
Tbc ni chombo cha serikali hvy serikali imepitisha mtu fulani kuitwa hamnazo
 
Daah... TBC kweli ni Mayuda wamemsaliti Kiongozi wao kwa hadithi na Liwaya😄😄
 
Kaitwa, Mwendazake, wapenda amani wapo kimya! Na sasa anaitwa, Hamnazo, hali ni ile ile! Mwisho, ardhi itaongea!
 
TBC kweli wamefikia hatua hii? So painfully jamani shame on you shaaban Kisu
 
Aisee hongereni SANA mnaoweza kuangalia hii channel.

Everyday is Saturday............................... 😎
Sipendi kuangalia hii channel ila kifurushi kikiisha huna jinsi
 
Na mimi nilisikiliza hiyo Tafakuri baada ya habari jana, na niliwaza sana kwamba hapa wanamsema Magu
 
Hii tafakuli imekuwa si ya kificho hata mtu wa kawaida kabisa atamjua tu huyo hamnazo ni nani.
 
Sijawahi kuingalia TBC, mara ya mwisho Ni kipindi kile ikiitwa tvt
 
Tulifulia kidogo Dstv yetu haikuwa na kifurushi, pia imekuwa afadhali mana tungejuaje hata TBC wamemuita jamaa flani kuwa ni hamnazo.
Ooh okay... So hamnazo ni Nani according to tbc?

NB: Ila pamoja na kulinda mwili wako na moyo wako vile vile linda akili yako isilishwe matangopori ya tbc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…