TB Joshua kiboko!

kwa hiyo unataka orodha ya majina mengi ya ma genius wetu na wala sio jina moja ndio unamaanisha hivyo?

Ngoja basi niwe mahsusi kwa kadri iwezekanavyo.

Ni hivi, naomba uniandikie orodha ya ma genius 10 wa Kitanzania, walio Tanzania, wafu na walio hai.

Nimekuwa mahsusi vya kutosha?
 

Jamani, sasa tunavuka mipaka ya uhuru wetu wa kutoa mawazo.
It's not fair kuingiza masuala ya imani za dini na kukashifu dini za
wengine kwani siyo msingi wa hoja iliyoletwa mezani tuijadili. Ni bora
wakati mwingine tukabaki kimya kufuatilia mjadala kama nilivyofanya
mimi kama tunadhani hatuwezi kujadili kistaarabu...
 

Mwambie Allah aliye teremsha aya.
 




Wajinga ndio waliwao

Haa ha ha Faiza..unadanganyika na hiyo?yaan ata haihitaji kuwa na elimu ya darasa la saba kujua hiyo ni feki.

Kwa kutukata kilimi...ebu weka japo youtube video aliyoongea hayo?usipoiona jua huo ni uongo.
 

KUMBE ALLAH SIO AKBAR!!!!!!!!!!!!!!!!
ALLAH ANAOMBA ANUSURIWE MAANA INAONEKANA AMENASA SEHEMU
=====================================================
Q47:7 Enyi mlioamini, mkimnusuru Allah naye atawanusuru na kuithibitisha miguu yenu!
Sasa kama ameshindwa kujinusuru mwenyewe, atawezaje kuwanusuru Waislam?
KUMBE ALLAH SIO AKBAR
 

SIUTAKI UISLAM KWASABABU UNARUHUSU KULA FISI
==================================================
Sayyidina Ibn Ammar (RA) alisema kuwa, siku moja alimuuliza Jabir Jbn Abdullah (RA) kuhusu uwindaji wa FISI. Alinijibu na kusema, inaruhusiwa kuwinda Fisi. Nilimuuliza, Je, tunaruhusiwa kula, na akanijibu kuwa Kula Fisi ni Halal (Inaruhusiwa kula Fisi).
Nikamuuliza tena, Je, Nabii wa Allah(SAW) aliruhusu kula Fisi? Jabir r alinijibu na kusema. NDIO, Nabii wa Allah aliruhusu kula Fisi.
[Abu Dawud 3801, T 1798, Ibn e Majah 3085, Ahmedl4456]
9- Kitabu cha HAJJ



 

Ahaa! Kumbe kutabiri kunamfanya mtu kuwa "mtu wa Mungu"? Kama huo utakuwa ukweli basi Tanzania ndiyo tunaongoza kwa kuwa na "watu wa mungu" wengi ikiwa ni pamoja na Marehemu Sheikh Yahya ambaye alitabiri mengi tu yaliyotokea, bila kuwasahau kina Marehemu Ezekiel na hata wapiga ramli wa kule mlimgotini!
Inawezekana si yote yaliyotabiriwa na Sheikh Yahya yalitimia, lakini moja ya utabiri wake nilioufuatilia ni alipomjibu muulizaji katika gazeti lililokuwa likichapishwa Kenya la Baraza mwaka 1970 kwamba southern Rhodesia (Zimbabwe) ingepata uhuru miaka 13 tokea mwezi ule.
Mimi sikuwa muumini wa ramli lakini nilidhamiria kufuatilia huu ili kuona kama inawezekana. Wakati ule hakukuwa na hata chembe ya dalili juu ya utabiri ule lakini cha kushangaza Southern Rhodesia ili kuja pata uhuru wake 1983 tarehe na mwezi sawa na utabiri wake!
Je ndiyo tuseme naye alikuwa nabii?
Vyovyote iwavyo, si huyo niliyemtaja wala huyu mnayempapatikia sasa Joshua ni watu wa Mungu kwa maana ya kumwakilisha Mungu, bali ni nguvu za kuzimu ndizo zinazofanya kazi na zilizofanya kazi ndani yao.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
talented person,ukifanya picha za ngono na ww tutajua unakipaji,mjini fanya yako ww
 

Please...tukubali kutokukubaliana bila kashfa.Na tujifunze kutofautiana bila kuchafuana na kukashifiana kwa kutofauti zetu za dini Maana kwa kukashifu hamsaidii yeyote sie unayemuelekeza wala Mungu unayemuabudu.
 

Mwambie Allah aliye teremsha aya.
Mh! Haya bhana, siwezi kuingia kwenye malumbano ya dini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…