Umejuaje hana huo upofu unaousema wa "rohoni"?
Kwasababu alisema anawaamini wote ambao wanajita watumishi wa Mungu, na kwamba Mungu ndiye anayejuwa.
Ina maana wengi wenu mko radhi kuliwa kwasababu Mungu pekee ndo atakayewahukumu!
Yani acha uliwe na kudanganywa, potelea mbali kwasababu Mungu ndo anayejuwa, sasa si upofu huo ni kitu gani?
Sitaki kujiingiza kwenye mabishano ya Imani, itakuwa ni kupoteza muda!
next Sunday tune in Emmanuel TV uone hao wazungu wanavyojazana kwa mtu mweusi (T.B Joshua) halafu uje ucomment tena.siku ngozi nyeusi vichwa vyao vitakuwa na akili ndiyo tutaacha upuuzi wa kuwaabudu wazungu! imani yako ndiyo itakayo kuokoa! mtu mkubwa kama Obama akisikia kauli kama hzi huwa anapuzia! waafrika baadala ya kumiza vichwa kwa mambo ya maana tunawaza mambo kama haya? upuuzii
Hiyo itakuwa Somali au Sudan Kusin au Ethiopia, Tz sio rahisi JK atekwe
kwani tunaugomvi na alshababu?
Km hua unamfuatilia alisema kabla
Akasema baada na.ilipokuwa ila c walipuuzia
Bt alisema kila kitu
Tutajie hizo sifa za nabii wa kweli halafu tutumie vigezo vyako tumpime T.B Joshua.Yesu alisema si kila roho ijayo kwetu tuiamini, ni lazima tupime... Wakubwa je, tunafahamu sifa za nabii wa kweli na wa uongo? Je, ktk cku zetu hizi tunao manabii au la... Nadhani tukipata majibu ya maswali haya ndo tutajua ukweli wa TB Joshua...
nchi zote maskini ni hufahamika kama southern countriesAmesema ni southern countries
Nashawishika kuamini kwa kiasi culani hii comment yako kuliko alivyoilete mtoa mada. Alichofanya mtoa mada ni kutafsiri kwa mawazo yake. Sishangai maana hata darasani mwalimu ni mmoja, wanafunzi mia, lakini kuna maxi 100 - 0Hajasema nchi inayopakana na Kenya...amesema southern africa countries. ...kwamba one of their president atatekwa na pengine kuuawa.... about Obama, ameonya kwmba asifanyiwe operation maana haitokua sawa kwake. He said let's pray for them!!!
Yah hawa wananigeria ni wa kuangalia sana..Mkuu
Usiteseke huyu ni M-NIGERIA KAMA WALE WENGINE....
Sasa kama kila anayekuja, anasema katumwa na Mungu.Mimi nimemsoma mwishoni akisema hamuamini yeye ila Mungu aliyemtuma. Labda swali liwe ni Mungu yule yule anayemuamini ndiye kamtuma say T.B Joshua.
Mimi pia sihukumu, ila kuna watumishi sipati amani ninapowasikiliza na hivyo sipotezi muda kuwasilikiliza. Kuna ninaowakibali, na to some extent mafundisho yao yamenifanya nimekuwa mtu mzuri kuliko awali, T.B Joshua ni mmoja wao. Na leo kuna padre mmoja kahubiri na yameniingia hadi raha. So wenye Upofu wa rohini kama mimi, ambao tunashindwa kusema kwa uhakika yupi ni kweli wa Yesu na yupi anamtumia Yesu kujitajirisha, tunamwachia Yeye ndio ahukumu.