Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,778
- 24,096
Mirako eeeh πππKwa hiyo walikwa wanaamini mambo ya mirako.
Kwa hiyo 8Γ·0=8? Ama unataka kumaanisha Nini?Hapo ni sawa na sijawagawa kwa hiyo nitabaki nao wote
Miracles π€£Mirako eeeh πππ
Kwann utuwekee avatar umenuna, πMiracles π€£
Veta umeenda?Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?π€
π§πΊπ·Sicheki ni yeyote, naulinda wangu moyo...Kwann utuwekee avatar umenuna, π
Hapo ni zero times zero na si 8 times 0 ukiprove by mathematical induction jamaa yupo sahihi jibu italeta 8.8 Γ 0 =0
Why?
0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0=0
Hahahahahaha sawa kaka wa bichwa komweπ§πΊπ·Sicheki ni yeyote, naulinda wangu moyo...
Hahaha πHahahahahaha sawa kaka wa bichwa komwe
2 Γ 3=6Ap
Hapana hao 8 si unao ?
2 Γ 3=6Kuku 8 Mara 0 kuku nane kuku
2 Γ 3=6Hapo ni zero times zero na si 8 times 0 ukiprove by mathematical induction jamaa yupo sahihi jibu italeta 8.
2 Γ 3=6Ni sawa kwasababu 8 x 1 ni sawa na kusema nane nane ziwe moja ambapo unapata hiyo hiyo nane.
Na 8 x 0 ni sawa na kusema nane nane ziwe sifuri ambapo haupati nane kwasababu ziko sifuri.
2 Γ 3=6Kimaelezo inaweza changanya, ila zile operations zina tabia zake
+ na x haziathiriwi na position
A x B= B xA
A +B =B+A
maana yake
1 + 2 = 2+1
8 x 0 = 0 x 8
Kukuelezea zaidi ni ngumu ila swali zuri na fikirishi
πππ Hizo mustach km mkuu wa shuleHahaha π
2 Γ 3=6Ap
Hapana hao 8 si unao ?