Tazameni ulinzi wa Rais Paul Kagame

Tazameni ulinzi wa Rais Paul Kagame

Huo ni mtazamo wako na nakushauri tu jaribu kufuatilia comments more than 70 inakuwaje wewe utulazimishe tukubaliane na unacho taka wewe?

Wewe ni nani zaidi ya kuwa ni jf member?
Bado unajidhihirisha nilichokisema ...ndio maana nmefanya mwambato kwenye ujumbe wako ...kwa utajo wangu huo nilimanisha weye ndiwe na si mwingine humu jukwaani ,sasa unapotumia wingi kwenye jumbe zako huoni kwamba bado u katika level mfanano ??
 
Wameua sana kwa bunduki, hivyo basi wanafahamu kabisa kuwa silaha waliyotumia kuulia wenzao ndiyo itakayo waua, kwa maana hyo Wanajihami.
 
Bora huyu anaweza kujitetea alikuwa mwanajeshi, na aliingia kijeshi madarakani so anahofu wanajeshi wenzake wasimpindue huyu mkemia wa kwetu ame copy na kupaste bila kujua
 
anaona watamgeuza direction kutoka kusimama kwenda dog style ndio maana anawaua
 
Wana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki.
Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?View attachment 1101060
Mbowe tu hajawa rais ana lundo LA red brigade. Akiwa rais je? Tuanzie hapo
 
Mbowe tu hajawa rais ana lundo LA red brigade. Akiwa rais je? Tuanzie hapo
Huu uzi unazungumzia marais
Ukitaka kuongelea ulinzi wa wabunge fungulia uzi wako
 
Wangeongea na mungu kabisa basi awaepushie kifo
Wameua sana kwa bunduki, hivyo basi wanafahamu kabisa kuwa silaha waliyotumia kuulia wenzao ndiyo itakayo waua, kwa maana hyo Wanajihami.
 
Hata huko mbele wanalindwa tena zaidi ya hao, tofauti wengine wanalindwa na technology
 
Back
Top Bottom