Hapana hilo sio chaguo letu sisi watawaliwa bali ni matakwa binafsi ya mtawala .Je ndiyo chaguo letu sisi watawaliwa?
Jiwe ni kopi kopi boy.....
Yule mtoto anaekopi kazi za wenzake tangu kindergarten.....
Very poor!
Paka mwaka 2034 ndio ataachia ngazi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122]
Alafu anakwambia anaongeza kipindi kingine cha utawala kwa sababu anapendwa sana
BADALA YA NDEGE KUNA WALINZI KIBAO WAMEJICHANGANYA NA RAIA!Mbona Ndege Sizioni hapo juu.
Rais wa America hana?Wana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki.
Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?View attachment 1101060