Tazameni ulinzi wa Rais Paul Kagame

Tazameni ulinzi wa Rais Paul Kagame

Huko Rwanda nasikia huwezi kumkosoa Kagame kwenye baa au hata kwenye dala dala manage kote huko amejaza wasiojulikana.
 
Wana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki.
Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?View attachment 1101060
Hao walinzi ni dhidi ya maaduI wa nje,
Enemies from foreign intelligence agencies,nchi yoyote lazima Kuna ma agent wa nchi zingine wenye nia ya kuvuruga amani ya nchi kwa maslahi yao wenyewe,sasa raisi lazima alindwe,Raisi akiuliwa ni hasara kwa nchi.
Nchi kama Uganda,au Congo,Burundi,lazima zinapenda zione Rwanda inayumba kutokana na vita zao za kimaslahi.hapo lazima Raisi wa nchi alindwe.
Chukulia mfano Mashambulizi anayofanya Israel kwa Iran,ameua sana wanasayansi wake,sasa lazima utakuta ulinzi wa Raisi wa Iran ni mkubwa,Richa ya kwamba amechaguliwa na asilimia 90 ya wairan.Maadui wa nje ni kitisho zaidi.
 
Hao ni madikiteeta tu ndiyo wanakuwa na walinzi wa hadi vifaru
 
Halafu hao wananchi unaowaona hapo wamelazimishwa kwenda kwenye huo mkutano uchwara,afadhali sisi lile lisanamu walilizika na tayari lishaanza kuonja adhabu za kaburi
 
Back
Top Bottom