Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,139
- 24,561
nani anapigana vita ya uchumi na nani, lini na kwanini?Vita Ya Uchumi Ni Mbaya Sana
nani anapigana vita ya uchumi na nani, lini na kwanini?Vita Ya Uchumi Ni Mbaya Sana
Uoga wa kitoto huoWalinzi wake wanafanana na walinzi ya mkubwa fulani hapa Africa,kuanzia muonekano,silaha,ufanyaji kazi nk!
Mzee mmoja kijijini aliwahi kuniambia kuwa Siku Ndgu akianza kuwaamini majilani kuliko sisi wanafamilia yake bhasi ni either tufanye kila linalowezekana tumfukuze au tungoje kufukuzwa sisi!...
bora DJ makengeza kuliko mnyapara kichaa kichaa.mwenye ghiriba muongo na mdanganyifu mkubwa ATCL wamefanya biashara nanani hadi watoe gawio?Hapana..ila DJ makengeza anajua hii maneno
huwezi fanya hii biashara bila kuwa na ushirikiano wa polisi/serikali... wafanyibiashara wote wakubwa na hatari hufahamika vyema na watu wa serikali, hivyo hawawez kuwa threat kwa rais hata kidogoHivi mnajua vita ya kupigana na mafisadi na wauza unga nyie
Yuko sahihi ni mapema mno kwake kwenda kwenye nchii nyingine ambayo mtawaala ni Mwenyezi Mungu na Ibilisi Luciffer kwa upande mwingineWana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki.
Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?View attachment 1101060
trumph , angela markel, na wengine wao hawapigani vita hivyo, venuzuela, brazil nao hawapigani vita hivyo?Hivi mnajua vita ya kupigana na mafisadi na wauza unga nyie
TTC ya nini mm ?Mie ninayo line ya ttcl na ni ISP bora kwa nchi hii. Jaribu utaamini
Hapo nikiwa na sniper riffle kule mbali mitini namuondoa! Tena amesimama vizuri kwenye stage kunirahisishia!Wana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki.
Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?View attachment 1101060
Tatizo hatufahamiani, wengine ni watotoHivi mnajua vita ya kupigana na mafisadi na wauza unga nyie