Huyo anatwanga tu maji kwenye kinu hamna kitu hapo. Anajua akina Sadat, Saddam, Doe nk walivyokuwa wanalindwa..!!
Huyo damu ya aliyowaua ndio inamsumbua, ataishi hivyo hivyo kama nyoka aliyejificha ndani mwa mtu ila tarehe ikifika hatawaona hao, atakufa mwenyewe tu huyo dikteta.
kulindwa ni mhimu aise unaongoza watu mamilion pia hyo nafac wapo weng wanaitaka na wanaona ww hufanyi ka wanavyotaka wao sasa usipo kuwa na ulinz s utakufa napema,hata nyie mnaoshangaa humu bado na ww ukipata nafac hiyo lazima ulindwe tena ukute zaid ya hapo,halafu msilolijua rais halazimishi kulindwa kuna kabinet ikiona kuna urazima wakufanya hivyo inafanya.
wewe unaitaka?Waache wanaoitaka
Kwanini ulishindwa kufanya hivi mpaka akaondolewa kwa maradhi??Hapo nikiwa na sniper riffle kule mbali mitini namuondoa! Tena amesimama vizuri kwenye stage kunirahisishia!
Unajuaje haikufanywa?Kwanini ulishindwa kufanya hivi mpaka akaondolewa kwa maradhi??
Kwasababu hakuna viashiria vya kufanikiwa.Unajuaje haikufanywa?
hao watakuwa wale wa jiwe sasa wamerudi kwaoWana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki.
Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?View attachment 1101060
Marekani je ? 🤔Wana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki.
Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?View attachment 1101060
Hivi Marekani na Rwanda wapi kuna demokrasia? Hivi Kagame anaweza kuwa mtu anae lindwa zaidi ya Joe Biden?Halafu utasikia hivi sasa Kagame kaifanya Rwanda iwe ni nchi ya amani! Kiongozi unalindwa na kombania mzima halafu unasema nchi ina imani!! Au ina maana kasoro kwake yeye tu?! Tena hao ni wale wanaoonekana lakini kutakuwa na wengine wengi zaidi waliojichanganya na raia na wengine wakiranda randa huku na huko kwa hofu ya uwezekano wa kuwapo na snipers!!
Rais ni taasisi unataka alindwe kama Muuza genge?Wana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki.
Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?View attachment 1101060
Hakuna Rais asielindwa duniani, analindwa kama wengine tu, hoja yenu kuwa madikteta wanalindwa sana kuliko wasio madikteta pia ni batili, maana Joe Biden mtu wa demokrasia analindwa kuliko hao madikteta mnao wasemaMbona mama Samia halindwi na vikosi 10 vya jeshi na vifaru?
Dikiteeta atabakia kuwa ni shetani ndiyo maana wanakufaga hovyoHakuna Rais asielindwa duniani, analindwa kama wengine tu, hoja yenu kuwa madikteta wanalindwa sana kuliko wasio madikteta pia ni batili, maana Joe Biden mtu wa demokrasia analindwa kuliko hao madikteta mnao wasema
Umeifahamu hiyo mada na huo mlinganisho ? Soma vizuri na kuelewa .... Wacha taharukiupotolo mnajilinganisha na Marekani?
Kufa ni kufa tuuuDikiteeta atabakia kuwa ni shetani ndiyo maana wanakufaga hovyo